Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 154,929
- 459,607
maybe kaja kutafuta kiki jf kupitia Miss NatafutaVitu vingine haviitaji ujuaji
Amekurupuka huyu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
maybe kaja kutafuta kiki jf kupitia Miss NatafutaVitu vingine haviitaji ujuaji
Amekurupuka huyu
nilishaga mzoea huyo asikupe taabuKupitia Uzi wake wa Jana tarehe 31.12.2016 mrembo maarufu jf ajulikanaye kwa jina la miss natafuta aliueleza umma wa jf kwamba ameamua Ku block account yake ya jf na kujikita katika kuendeleza familia yake
Cha kushangaza Leo ameonekana akitoa comments kwa jina lile lile katika habari mbali mbali hapa jf
Je huyu tuendelee kumwamini tena??
1.1.2017
Mbona siyaoniiUmenichekesha..
Kuna mdau humu aliuliza haya makitu yanayotoboa macho ni nini?
Mbaya zaidi wanaotafuta kiki Mara nyingi ni mashogamaybe kaja kutafuta kiki jf kupitia Miss Natafuta
Acha waambiane wasemezane mabaya yako ,ipo siku wataambiana mema ya Mungu maishani mwakomkuu mimi huwa nina principle moja pamoja na udhaifu wangu mwingine huwa sijali mtu ananiwazia nini as long sina habari nae wala hana faida kwangu
Hahahaha. ....Umenichekesha..
Kuna mdau humu aliuliza haya makitu yanayotoboa macho ni nini?
kweli aisee wakina kaoge typeMbaya zaidi wanaotafuta kiki Mara nyingi ni mashoga
Mkuu ndio identity ya humu,kila mtu ni mkuu,nazani ugeni unakusumbua,yaami kama unavyoona wabunge wanavyoitana ’mueshimiwa’ bungeni,na hapa jamvini kila mtu ni mkuu bila kujali jinsia yake wala umri wakeHaaaaaaaahaaaahaaa
Sio kweli mkuu.unafuatilia habari za mtu mwenye fake id hivi unajua kuwa miss natafuta ni mwanaume kabisa anajifanya dem
Afadhali hata umesema yeye anafikiri neno mkuu latumiwa na wanaume tuuuView attachment 453369
Hii ni comment ya kipumbavu kutoka kwa mpumbavu
Kipi cha ajabu kuhusu mwanamke kutumia neno mkuu kwenda kwa mwanaume?
Member since 21 DEC 2016 hata week mbili hujafikisha ila una nyakunyaku kibao!
Sijajua jinsia yako ila sidhani kama upo katika uanamke ama uanaume
Mind your business MKUU
Live your life
*****
ahahaaa eti mkuu ni wa kiume? hawa wasukuma wa wapi eti?maybe kaja kutafuta kiki jf kupitia Miss Natafuta
mkuu mimi ni wa kike .hata kama nimetumia mkuuMiss Natafuta njoo huku kujibu hoja wanasema eti wewe unapumuliwa. Aiseee sema neno ili tukatae au kuamini tuhuma hizi nzito.
Bora angeuliza tuAfadhali hata umesema yeye anafikiri neno mkuu latumiwa na wanaume tuuu
si mzima huyoahahaaa eti mkuu ni wa kiume? hawa wasukuma wa wapi eti?
ahahaaaa mkuu upo?Bora angeuliza tu
Kuna midude ya rangi nyekundu na nyeupe yako kwenye kila avatar toka siku ile ya krismas,yanatoka kichwani(kama ni pc ya mtu)yanacross paji la uso kimsharazi yanaingia kwenye jicho la kushoto..Mbona siyaonii
sikujua kama na wewe wasikilizaga hizi nyimbo .Acha waambiane wasemezane mabaya yako ,ipo siku wataambiana mema ya Mungu maishani mwako