Miss natafuta wa JF audanganya umma

Miss natafuta wa JF audanganya umma

Kupitia Uzi wake wa Jana tarehe 31.12.2016 mrembo maarufu jf ajulikanaye kwa jina la miss natafuta aliueleza umma wa jf kwamba ameamua Ku block account yake ya jf na kujikita katika kuendeleza familia yake

Cha kushangaza Leo ameonekana akitoa comments kwa jina lile lile katika habari mbali mbali hapa jf

Je huyu tuendelee kumwamini tena??

1.1.2017
nilishaga mzoea huyo asikupe taabu
alishaga nichomesha mahindi siku moja nikapigwa baridi mpaka mida ya nane za usiku na hakutokea sina hamu nae tokea siku hiyo
 
mkuu mimi huwa nina principle moja pamoja na udhaifu wangu mwingine huwa sijali mtu ananiwazia nini as long sina habari nae wala hana faida kwangu
Acha waambiane wasemezane mabaya yako ,ipo siku wataambiana mema ya Mungu maishani mwako
 
View attachment 453369
Hii ni comment ya kipumbavu kutoka kwa mpumbavu

Kipi cha ajabu kuhusu mwanamke kutumia neno mkuu kwenda kwa mwanaume?
Member since 21 DEC 2016 hata week mbili hujafikisha ila una nyakunyaku kibao!

Sijajua jinsia yako ila sidhani kama upo katika uanamke ama uanaume

Mind your business MKUU
Live your life

*****
Afadhali hata umesema yeye anafikiri neno mkuu latumiwa na wanaume tuuu
 
Miss Natafuta njoo huku kujibu hoja wanasema eti wewe unapumuliwa. Aiseee sema neno ili tukatae au kuamini tuhuma hizi nzito.
 
Huyu mnamvimbisha kichwa tu hamna vitu vingine vya ku discuss
 
Mbona siyaonii
Kuna midude ya rangi nyekundu na nyeupe yako kwenye kila avatar toka siku ile ya krismas,yanatoka kichwani(kama ni pc ya mtu)yanacross paji la uso kimsharazi yanaingia kwenye jicho la kushoto..

Kama kwako hamna basi una bahati ya mtende kuota jangwani..
 
Naomba nitoke nje ya mada, hivi mtu akipigwa ban members mnajuaje?
Kama ni life ban pia inajulikanaje?


Kuuliza si ujinga
 
Back
Top Bottom