Daaah mkuu ID yako imefanana sana na ya Mshana Jr yule mwingineunafuatilia habari za mtu mwenye fake id hivi unajua kuwa miss natafuta ni mwanaume kabisa anajifanya dem
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Daaah mkuu ID yako imefanana sana na ya Mshana Jr yule mwingineunafuatilia habari za mtu mwenye fake id hivi unajua kuwa miss natafuta ni mwanaume kabisa anajifanya dem
Halafu eti Saint Ivuga alituringishia kuwa Miss Natafuta ni dem wake kumbe mtu mwenyewe wakufyokolewa!? ptuuuu mxeeeww...Miss Natafuta ni mwanaume ila Bahati mbaya ni Shoga, anaishi Kinondoni mkwajuni ,namjua vema. Jamaa siyo rizki !!
Kabila lake msukuma, alifikiaga Kitanda alivyotoka Mwanza na baadae biashara ilivyonoga akahamia Mkwajuni.
God have mercy to miss natafuta
[emoji47] [emoji47] [emoji47] [emoji47] [emoji47] [emoji47] [emoji47] [emoji47] [emoji47] [emoji47] [emoji47] [emoji47] [emoji47] [emoji47] [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] sikuwahi kuwaza yeye n mwanaumeMiss Natafuta ni mwanaume ila Bahati mbaya ni Shoga, anaishi Kinondoni mkwajuni ,namjua vema. Jamaa siyo rizki !!
Kabila lake msukuma, alifikiaga Kitanda alivyotoka Mwanza na baadae biashara ilivyonoga akahamia Mkwajuni.
God have mercy to miss natafuta
Me ndio nashangaaLaa haulaaa..!!!!!!
Halafu kuna Mr Natafuta,je,ni mtu mmoja au ni tofauti?
[emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unaweza kuta ndo yule miss kaja kimtindo
Nawaza tuu kwa sauti
Aje na id yake ya zamani anamwaribia mshana jrMmh mgeni mwenzangu umekuja kasi muda si mrefu umeanzisha thread ya utambulisho mara hii umeshamfatilia miss natafuta kujua kama ni mwanaume au mwanamke.
Unachafua ID za watu
Hahahahahaha jamaniHalafu atakuwa bonge la bibi huyu
Sio mwanaume bwana mimi namfahamu kibonge wangu afu mtamu kama nini anajituma sana.Halafu eti Saint Ivuga alituringishia kuwa Miss Natafuta ni dem wake kumbe mtu mwenyewe wakufyokolewa!? ptuuuu mxeeeww...
achana na wajinga mkuuSio mwanaume bwana mimi namfahamu kibonge wangu afu mtamu kama nini anajituma sana.
Kaweka picha yake halisi kwene profile picha
Ni very charming na anajitambua, anapenda utani .
Na haogopi kitu.
Mimi nimekutana naye kwa hio huyo jamaa anayesema mengine mwambieni aache uzushi.
Na Miss Natafuta hakai huko mkwajuni kwa wanyasa.
Anakaa sayansi.
Bado mnataka maelezo mengine? Ningeweka picha ila yeye mwenyewe kaweka picha yake sasa mimi nitaweka nyingine ya nini?
Afu nlisahau Miss Natafuta anapenda sana golf.
Anaonesha n member mzoefu amekuja name new idKweli anamwaribia pia huyu jamaa anaonekana mkurupukaji hivyo mwenye id orijino amrepoti haraka ili abadilishe jina
[emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7] lovebirdsSio mwanaume bwana mimi namfahamu kibonge wangu afu mtamu kama nini anajituma sana.
Kaweka picha yake halisi kwene profile picha
Ni very charming na anajitambua, anapenda utani .
Na haogopi kitu.
Mimi nimekutana naye kwa hio huyo jamaa anayesema mengine mwambieni aache uzushi.
Na Miss Natafuta hakai huko mkwajuni kwa wanyasa.
Anakaa sayansi.
Bado mnataka maelezo mengine? Ningeweka picha ila yeye mwenyewe kaweka picha yake sasa mimi nitaweka nyingine ya nini?
Afu nlisahau Miss Natafuta anapenda sana golf.
achana na wajinga mkuu
Mamaa Fb. Nafurahi sana kukuona hapa JF.Anaonesha n member mzoefu amekuja name new id
Ujue mimi nlikuwa nawachora tu wanavyoropoka kuhusu mtu wangu wa nguvu .[emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7] lovebirds
Anaonesha n member mzoefu amekuja name new id
Kwa Hilo sifaham ila me awe dume jike Miss Natafuta sion Shida a ndivo alivyojichagulia Kuna Mambo yanafaa kuyaacha kama yalivyo haikua na haja ya hii thread n bas tuAnajua mengi kweli. Ila nahisi hawa vidume walimtongoza miss natafuta akawatolea nje sasa wanampa presha ya kumsingizia. Hata kama ni dume so what haiwahusu. Tatizo itakua wanalazimisha aonane nao uso kwa uso(danger)