Miss Natafuta...

Miss Natafuta...

images+%2812%29.jpg
 
Acheni kumchokoza mdada wa wa2,binafsi huwa napenda sana uandshi na utani wa Miss natafuta a.k.a mamaaaaaaaa wa mitongozo.Kumbukeni kila mwanadam yupo Duniani kwa kusud la Mungu na cyo kwa kusudi la mwanadam na hatuwez ku-behave the same
 
Hauko sahihi!
humu watu wengi hawaishi uhalisia!
mara nyingi katika social media watu wanaweza kujiachia labda kwa jokes au kuelezea hisia zao bila ya vidhibiti, lakini unaweza kushangaa ukikutana naye ni mtu very descent!
jukwaa kama hili often watu huwa wanataka ku-relax, wanajiachia na hawana haja ya kufikiri wanapoandika kama wanafanya pepa la namba!
chukulia hata matusi, kebehi na maneno ya kijeuri unayoyaona humu kuwa ni sehemu ya socialization isiyokuwa na uhalisia!
kiufupi humu JF ni kama kufumania utupu wa akili za watu.... yaani akili zetu hatuziveshi nguo kwa kuwa tunahisi hatujulikani...!
hata wewe, Akili yako ya hapa (JF) sio sawa na akili ya physical wewe, kwa wanaokufahamu...!
Nnachoelewa kuhusu fake identities, wengi tunatumia kua opposite na tulivyo kwenye maisha halisi.
Unaweza kuta mtu kwenye maisha hana miguu lakini akija huku anakua mcheza mpira wa miguu! Au mtu kila uzi ana lugha mbovu na kutukana ila kwenye uhalisia ni mpole na church boytena ai muongeaji kabisa.
Sijui kwanini watu wanachukuliaga watu serious kwenye sehemu kama JF!
 
Laiti wote wangelijua hili tusingegombana
 
Nnachoelewa kuhusu fake identities, wengi tunatumia kua opposite na tulivyo kwenye maisha halisi.
Unaweza kuta mtu kwenye maisha hana miguu lakini akija huku anakua mcheza mpira wa miguu! Au mtu kila uzi ana lugha mbovu na kutukana ila kwenye uhalisia ni mpole na church boytena ai muongeaji kabisa.
Sijui kwanini watu wanachukuliaga watu serious kwenye sehemu kama JF!
[emoji106] [emoji106]
 
Yaani huyi dada ananipa majaribu sana na avator zake. Tena hii mpya aliyoiweka naenda CHAPUTA mara. Mi naomba aindoe tu kama anaheshimu hisia za wengine
 
Hauko sahihi!
humu watu wengi hawaishi uhalisia!
mara nyingi katika social media watu wanaweza kujiachia labda kwa jokes au kuelezea hisia zao bila ya vidhibiti, lakini unaweza kushangaa ukikutana naye ni mtu very descent!
jukwaa kama hili often watu huwa wanataka ku-relax, wanajiachia na hawana haja ya kufikiri wanapoandika kama wanafanya pepa la namba!
chukulia hata matusi, kebehi na maneno ya kijeuri unayoyaona humu kuwa ni sehemu ya socialization isiyokuwa na uhalisia!
kiufupi humu JF ni kama kufumania utupu wa akili za watu.... yaani akili zetu hatuziveshi nguo kwa kuwa tunahisi hatujulikani...!
hata wewe, Akili yako ya hapa (JF) sio sawa na akili ya physical wewe, kwa wanaokufahamu...!
Inaonekana unapenda sana kesi utakuwa mchagga wewe..!
 
Back
Top Bottom