Miss Natafuta...

Miss Natafuta...

Hauko sahihi!
humu watu wengi hawaishi uhalisia!
mara nyingi katika social media watu wanaweza kujiachia labda kwa jokes au kuelezea hisia zao bila ya vidhibiti, lakini unaweza kushangaa ukikutana naye ni mtu very descent!
jukwaa kama hili often watu huwa wanataka ku-relax, wanajiachia na hawana haja ya kufikiri wanapoandika kama wanafanya pepa la namba!
chukulia hata matusi, kebehi na maneno ya kijeuri unayoyaona humu kuwa ni sehemu ya socialization isiyokuwa na uhalisia!
kiufupi humu JF ni kama kufumania utupu wa akili za watu.... yaani akili zetu hatuziveshi nguo kwa kuwa tunahisi hatujulikani...!
hata wewe, Akili yako ya hapa (JF) sio sawa na akili ya physical wewe, kwa wanaokufahamu...!
TATIZO MKUU WENGI HUMU WATOTO WADOGO MKUU .WAMEKREM MAISHA.BAHATI NZURI NAJUANA LIVE NA BAADHI YA WATU HUMU WANANIJUA JINSI NILIVO . HUMU HAKUNA UHALISIA WOWOTE ULE
 
Acheni kumchokoza mdada wa wa2,binafsi huwa napenda sana uandshi na utani wa Miss natafuta a.k.a mamaaaaaaaa wa mitongozo.Kumbukeni kila mwanadam yupo Duniani kwa kusud la Mungu na cyo kwa kusudi la mwanadam na hatuwez ku-behave the same
kwani nimekosea wapi mkuu?
 
Huyu dada yangu naye anaweza kuwa topic,
Mara zote bosslady huyu amelalamika kuwa anahitaji kugegedwa...!
mara kadhaa amekuja na hoja ya kutamani muhogo, ingawa nahisi hajawahi kuwinda mtu live humu JF!
Hiyo hamu ya kugegedwa inaweza kujieleza kwenye avatar yake, hasa hii mpya!

Nilipoiona nikaanza kuhisi je, nye*ge zimempanda kichwani...?
Madaktari hebu semeni kuna uwezekano wa nye*ge kupanda kichwani na kumuathiri mtu....!

cc Miss Natafuta
260fa5c3e2b26b9c575ac59314a6e608.jpg
 
Nawe ni zoa zoa daby typ......[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mimi JF nina njiwa mmoja tu mkuu,na ni huyu alieanzishiwa uzi hapa!!....kwani umewahi kuniona nikiwa natongoza mtu mwingine mkuu!![emoji30] [emoji30] [emoji30]
 
Back
Top Bottom