Zogoo da khama
JF-Expert Member
- May 20, 2013
- 631
- 592
Tembea taratibu basi walau nikuchukue kafoto amazing fulaniNapita tu!
Nnachoelewa kuhusu fake identities, wengi tunatumia kua opposite na tulivyo kwenye maisha halisi.Hauko sahihi!
humu watu wengi hawaishi uhalisia!
mara nyingi katika social media watu wanaweza kujiachia labda kwa jokes au kuelezea hisia zao bila ya vidhibiti, lakini unaweza kushangaa ukikutana naye ni mtu very descent!
jukwaa kama hili often watu huwa wanataka ku-relax, wanajiachia na hawana haja ya kufikiri wanapoandika kama wanafanya pepa la namba!
chukulia hata matusi, kebehi na maneno ya kijeuri unayoyaona humu kuwa ni sehemu ya socialization isiyokuwa na uhalisia!
kiufupi humu JF ni kama kufumania utupu wa akili za watu.... yaani akili zetu hatuziveshi nguo kwa kuwa tunahisi hatujulikani...!
hata wewe, Akili yako ya hapa (JF) sio sawa na akili ya physical wewe, kwa wanaokufahamu...!
HuchelewiiMimi ntasoma tu hapa
Laiti wote wangelijua hili tusingegombanaHauko sahihi!
humu watu wengi hawaishi uhalisia!
mara nyingi katika social media watu wanaweza kujiachia labda kwa jokes au kuelezea hisia zao bila ya vidhibiti, lakini unaweza kushangaa ukikutana naye ni mtu very descent!
jukwaa kama hili often watu huwa wanataka ku-relax, wanajiachia na hawana haja ya kufikiri wanapoandika kama wanafanya pepa la namba!
chukulia hata matusi, kebehi na maneno ya kijeuri unayoyaona humu kuwa ni sehemu ya socialization isiyokuwa na uhalisia!
kiufupi humu JF ni kama kufumania utupu wa akili za watu.... yaani akili zetu hatuziveshi nguo kwa kuwa tunahisi hatujulikani...!
hata wewe, Akili yako ya hapa (JF) sio sawa na akili ya physical wewe, kwa wanaokufahamu...!
[emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87]Wenye nyege huwa hawasemi, hiyo ni changamsha jukwaa tuu
Shkamo[emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87]
[emoji106] [emoji106]Nnachoelewa kuhusu fake identities, wengi tunatumia kua opposite na tulivyo kwenye maisha halisi.
Unaweza kuta mtu kwenye maisha hana miguu lakini akija huku anakua mcheza mpira wa miguu! Au mtu kila uzi ana lugha mbovu na kutukana ila kwenye uhalisia ni mpole na church boytena ai muongeaji kabisa.
Sijui kwanini watu wanachukuliaga watu serious kwenye sehemu kama JF!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji113]Shkamo
ANANITAKA EEHHuu mtongozo ni first class.
Inaonekana unapenda sana kesi utakuwa mchagga wewe..!Hauko sahihi!