Miss Natafuta...

TATIZO MKUU WENGI HUMU WATOTO WADOGO MKUU .WAMEKREM MAISHA.BAHATI NZURI NAJUANA LIVE NA BAADHI YA WATU HUMU WANANIJUA JINSI NILIVO . HUMU HAKUNA UHALISIA WOWOTE ULE
 
Acheni kumchokoza mdada wa wa2,binafsi huwa napenda sana uandshi na utani wa Miss natafuta a.k.a mamaaaaaaaa wa mitongozo.Kumbukeni kila mwanadam yupo Duniani kwa kusud la Mungu na cyo kwa kusudi la mwanadam na hatuwez ku-behave the same
kwani nimekosea wapi mkuu?
 
 
Miss natafuta mtu fresh sana!
she is funny girl/woman, sidhani kama atakuja na machungu, atakuja na kituko tu!
Ok!Ngoja tumsubir.Bado anaangalia kipindi cha dak.45 ITV
 
Nawe ni zoa zoa daby typ......[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mimi JF nina njiwa mmoja tu mkuu,na ni huyu alieanzishiwa uzi hapa!!....kwani umewahi kuniona nikiwa natongoza mtu mwingine mkuu!![emoji30] [emoji30] [emoji30]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…