Valentina
JF-Expert Member
- Oct 12, 2013
- 24,684
- 28,777
MmhWewe ni dada yangu wa hiari mwaya!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MmhWewe ni dada yangu wa hiari mwaya!!
Hapana banaHahah hakunaga urafiki wa ke&me ni mwendo wa kudungana sindano tu
Mh nini tena jamani?
Wanawake wa dar hawa hawa?Aiseee..
Daby hata asipokua na hela mjini atasurvive..
Si kwa kugombaniwa huku!
Hapana?Hapana bana
Nimependa huo udada wako wa hiyari hapo juuMh nini tena jamani?
Wakirudi wote kwa mpigo Kiranga na Nyani Ngabu utamchagua nani kwa mfano?[emoji1][emoji1]Nimependa huo udada wako wa hiyari hapo juu
Ha haa we unahisije?Wakirudi wote kwa mpigo Kiranga na Nyani Ngabu utamchagua nani kwa mfano?[emoji1][emoji1]
Haya tachukua wote basiChukua wote buana!🙂🙂🙂
Hahah hakunaga urafiki wa ke&me ni mwendo wa kudungana sindano tu
nimekutamani ghaflaHuu mtongozo ni first class.
Joanah nitake radhiii kwanza ndiyo tuendeleeee.......!!!!si domo zege lkn nitamonesha broo kifaa hicho umekionaa???? Na kwahiyo avatar sijui km ataweza rukaaa lbd ukute una elements km za miss chaga hapo ndiyo atashidwaaAsee!mmezoeana na kaka yako kiasi hiko hadi unamtafutia mwanamke???
Ama kaka yako nae domo zege?
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Hebu muacheni mpenzi wangu....
Kwanini nikutake radhi?Joanah nitake radhiii kwanza ndiyo tuendeleeee.......!!!!si domo zege lkn nitamonesha broo kifaa hicho umekionaa???? Na kwahiyo avatar sijui km ataweza rukaaa lbd ukute una elements km za miss chaga hapo ndiyo atashidwaa
Kusema kaka yng domo zege.....miss chaga anapenda sana pesaaKwanini nikutake radhi?
Elements za miss chagga ni zipi?
Pacha vipi mbona mbio huku unashangaa?![emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Mbona sijasemaKusema kaka yng domo zege.....miss chaga anapenda sana pesaa