Miss Natafuta...

Miss Natafuta...

Nnachoelewa kuhusu fake identities, wengi tunatumia kua opposite na tulivyo kwenye maisha halisi.
Unaweza kuta mtu kwenye maisha hana miguu lakini akija huku anakua mcheza mpira wa miguu! Au mtu kila uzi ana lugha mbovu na kutukana ila kwenye uhalisia ni mpole na church boytena ai muongeaji kabisa.
Sijui kwanini watu wanachukuliaga watu serious kwenye sehemu kama JF!
Sijawahi kupretend...

Nahisi hata baadhi ya watu humu kuna siku watahisi mimi ni fulani..

Wengine wako real sana alafu ukiconnect dots za story zao utakuja kuwatambua..

Anyway..sioni haja ya kupretend..
 
Mtafuta kiki tu huyu..! Alianza na nyuzi zake za ufuska alipojulikana sasa hivi anapambana kumoderate jina limegoma. Mimi huwa namchukulia mdada mmoja mpuuzi na mshenzi sana.
Binadamu huyaona ya wenzao tu ya kwao hapana. Tunahubiri na kukemea tuyapendayo na kuyafanya wenyewe.
Angalia avatar yako, inatufundisha nini kwa mfano?
Avatar yako inaweza kuwa shambadarasa la kukemea maadili ya miss mtafutaji?
 
Mawifi huwa hawaelewani ila wewe umezidi. Na bora uliwahi kuolewa maana ungekuwa hukuolewa hata pakutongozea kaka yako nisingepata
Angekua wifi kweli tungependana, ila mmama!! Sasa nikishamuamkia shikamoo wifi kinachofuata nini? Na hapo ukumbuke bwanake ananisalimia mimi shikamoo dada[emoji134] [emoji134] [emoji134]
Sio laana za ukoo hizi tunatafuta!!!
 
Haha... kwa mwendo huu itabidi nikugawe tu maana hamna namna tena sasa. Nikeshakushindwa
 
Haha... kwa mwendo huu itabidi nikugawe tu maana hamna namna tena sasa. Nikeshakushindwa
Ndugu hatushindwani my kaka, mie mzigo wako tu hata iweje.
Damu nzito.
 
Binadamu huyaona ya wenzao tu ya kwao hapana. Tunahubiri na kukemea tuyapendayo na kuyafanya wenyewe.
Angalia avatar yako, inatufundisha nini kwa mfano?
Avatar yako inaweza kuwa shambadarasa la kukemea maadili ya miss mtafutaji?
Kwani inakosa gani mkuu?[emoji844] [emoji844]
Mwenzio biologist, mbona kichwa chako kinawaza upuuzi wewe ukiona picha ya uchi unawaza ngono eti??? Kama unaishi hivyo mkuu utakuwa moral corrupted jamaa yangu.
Anyway peace nimeongea hivi kusadifu yaliyomo yamo.[emoji41] [emoji41]
 
Sasa ushenzi wa miss natafuta upo wapi mr biologist?
 
Back
Top Bottom