Daby
JF-Expert Member
- Oct 26, 2014
- 33,894
- 76,810
Unanijua kwani!!![emoji57][emoji12] [emoji12] [emoji12]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unanijua kwani!!![emoji57][emoji12] [emoji12] [emoji12]
Sijawahi kupretend...Nnachoelewa kuhusu fake identities, wengi tunatumia kua opposite na tulivyo kwenye maisha halisi.
Unaweza kuta mtu kwenye maisha hana miguu lakini akija huku anakua mcheza mpira wa miguu! Au mtu kila uzi ana lugha mbovu na kutukana ila kwenye uhalisia ni mpole na church boytena ai muongeaji kabisa.
Sijui kwanini watu wanachukuliaga watu serious kwenye sehemu kama JF!
Aarrrgh!Wenye nyege huwa hawasemi, hiyo ni changamsha jukwaa tuu
Ninakufahamu, my lovely kaka.Unanijua kwani!!![emoji57]
Binadamu huyaona ya wenzao tu ya kwao hapana. Tunahubiri na kukemea tuyapendayo na kuyafanya wenyewe.Mtafuta kiki tu huyu..! Alianza na nyuzi zake za ufuska alipojulikana sasa hivi anapambana kumoderate jina limegoma. Mimi huwa namchukulia mdada mmoja mpuuzi na mshenzi sana.
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji87] [emoji125] [emoji87] [emoji125]Mmh, sis mmh
Na nitakulaani wewe na kizazi chako chote.
Umeonaeee mwambie mwambieeHaujambo kaka yangu?
Hiyo laana haitoshika kabisaaa, maana mtoa laana mwenyewe ana zake za kumtosha.
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Mawifi huwa hawaelewani ila wewe umezidi. Na bora uliwahi kuolewa maana ungekuwa hukuolewa hata pakutongozea kaka yako nisingepataUmeonaeee mwambie mwambiee
Ninakufahamu, my lovely kaka.
Yaani hatopumua, si anajifanya akili kaazima!!Umeonaeee mwambie mwambiee
Angekua wifi kweli tungependana, ila mmama!! Sasa nikishamuamkia shikamoo wifi kinachofuata nini? Na hapo ukumbuke bwanake ananisalimia mimi shikamoo dada[emoji134] [emoji134] [emoji134]Mawifi huwa hawaelewani ila wewe umezidi. Na bora uliwahi kuolewa maana ungekuwa hukuolewa hata pakutongozea kaka yako nisingepata
Haha... kwa mwendo huu itabidi nikugawe tu maana hamna namna tena sasa. NikeshakushindwaAngekua wifi kweli tungependana, ila mmama!! Sasa nikishamuamkia shikamoo wifi kinachofuata nini? Na hapo ukumbuke bwanake ananisalimia mimi shikamoo dada[emoji134] [emoji134] [emoji134]
Sio laana za ukoo hizi tunatafuta!!!
Ndugu hatushindwani my kaka, mie mzigo wako tu hata iweje.Haha... kwa mwendo huu itabidi nikugawe tu maana hamna namna tena sasa. Nikeshakushindwa
Ndiyo namuoa huyoAnibebe kwani niko wapi, si niko kwake!!
Hebu fanya fanya nawe uoe maana umezidi kupuyanga hadi kwa maajuza sasa!!
Huyo kamuolee hukohuko kenya na mbaki hukohuko kwakweli, sitaki kushiriki hiyo dhambi mimi.Ndiyo namuoa huyo
Jiandae kupiga vigelegele na vivijo tu
Kwani inakosa gani mkuu?[emoji844] [emoji844]Binadamu huyaona ya wenzao tu ya kwao hapana. Tunahubiri na kukemea tuyapendayo na kuyafanya wenyewe.
Angalia avatar yako, inatufundisha nini kwa mfano?
Avatar yako inaweza kuwa shambadarasa la kukemea maadili ya miss mtafutaji?
Sasa ushenzi wa miss natafuta upo wapi mr biologist?Kwani inakosa gani mkuu?[emoji844] [emoji844]
Mwenzio biologist, mbona kichwa chako kinawaza upuuzi wewe ukiona picha ya uchi unawaza ngono eti??? Kama unaishi hivyo mkuu utakuwa moral corrupted jamaa yangu.
Anyway peace nimeongea hivi kusadifu yaliyomo yamo.[emoji41] [emoji41]
Emu nikaushie unatafuta ushahidi ama???Sasa ushenzi wa miss natafuta upo wapi mr biologist?