Mh! Huyo atakuwa na mastaz au mastabesheni
Yaan kwenye umiss waliojitahidi ukubwa walisema wana miaka 23 wenginr 18,19,20,22,,basiii
Si angebaki uchi tu
Eti naambiwa hapa kuwa hata kabla ya MASHINDANO MSHINDI ALISHAJULIKANA KUWA NI HUYU BIBI
Anaitwa Sitti Abbas Mtemvu Sasa Connect Dots Mwenyewe.