Miss Reds Tanzania 2014 Sitti Mtemvu kazi anayo, Umri wake utata mtupu

Miss Reds Tanzania 2014 Sitti Mtemvu kazi anayo, Umri wake utata mtupu

Hivi huyu dada anamdanganya nani kwamba ana miaka 18 ???? Duhh huyu binti anachekesha sana.
 

Attachments

  • 1413447031342.jpg
    1413447031342.jpg
    36.9 KB · Views: 440
wameacha kuchagua warembo waliokuwa na vigezo vya uhakika, wamemchagua Huyu bibi. stupid
 
Kama ilivyo desturi JF ni sehemu ya kwanza ya kujipatia habari..

Toka mshindi wa miss Tanzania 2014 Sitti Mtemvu atangazwe yameibuka maswali mengi sana, juu ya umri wake halisi, yeye akisema ana miaka 18 na baba yake akisema amezaliwa 1989 na mama yake akisema amezaliwa 1985, na uku kamati ya miss tanzania ikisema amezaliwa 1991 hivyo ana miaka 23...

Team ya kanzi ilibidi iingie mtaani hapa Dallas ili kuweza kubaini ukweli wa mambo kuanzia elimu yake na umri sahihi, tumeweza kupata nyaraka zake mbali mbali kuanzia za elimu hadi za kuzaliwa, na bila kusahau yale mambo ya faragha nayo pia hayaku kosekanika kama ilivyo desturi mabinti wa kisasa...

Huyu binti Mtemvu ana elimu zaidi ya ile ya form IV aliyoipatia Bongo na kuishia kupata mswaki, na sasa hapa anajishughulisha na mambo ya Acting/modeling

Akiwa amezaliwa 31 May 1989 kama inavyoonekana kwenye passport yake...

JF ni sehemu ya heshima, tunashindwa kuweka picha zake za faragha au video kwa kuwa lengo letu sio kumdhalilisha bali ni kuweka ukweli bayana, kadri siku zinavyo kwenda mengi zaidi yatajulikana juu ya huyu mrembo ambaye wengi mnasema hana sifa hiyo

attachment.php
 

Attachments

  • jf.jpg
    jf.jpg
    128.8 KB · Views: 72,601
Teh teh ....huyu miss anaonyesha kabisa ni mzee...ana miaka 25 kwenda mbele
 
Mbona huyo kikongwe jamani au macho yanguuuuu
 
Jinsi miaka inavyosonga mbele,kuna baadhi miaka yao ya kuzaliwa inarudi nyuma wengine inasimama kabisa. kuna haja ya kufanya utafiti.
 
Back
Top Bottom