High Vampire
JF-Expert Member
- Nov 17, 2012
- 2,915
- 2,134
Hiyo ya mama ndo sahihi mana wamama huwa hawasahau huyu binti wa 1985 hiyo mingine wana daganya tu ili asivuliwe taji
alianza kusoma akiwa tumboni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo ya mama ndo sahihi mana wamama huwa hawasahau huyu binti wa 1985 hiyo mingine wana daganya tu ili asivuliwe taji
alianza kusoma akiwa tumboni
wasipomvua taji mwaka huu
mi najiuliza miss chang"ombe alipitaje?
akaja tmk akashinda?
up to miss tz?
means hawakuliona toka mwanzo?
Chezeiya kabhaang wewe
Mtemvu si ndiye kahonga ili mtoto wake apendelewe alifikiri yuko kwenye uchaguzi
Weka ushahidi wa kuhonga kama we ni great thinker wa kweli.
Anyang'anywe taji kwa kudanganya au kwa kuwa na miaka mingi? Kwani miss anatakiwa awe na miaka mingapi?
alianza kusoma akiwa tumboni
Tena mbele ya Baba na Mama ama kweli tumelelewa tofauti mwe mwe mwe !
Mimi ni mdau wa elimu,naomba kujifunza kitu hapa.
Miss Tanzania wa mwaka 2014 Sitti Abbas Mtemvu anadai ana umri wa miaka 18 na ana elimu ya shahada ya uzamili (Masters).
Jaman kwa namna ipi na kivipi inakuaje nisaidieni.Inachukua miaka 18 mtu kupata masters.Ina maana alianza shule na miaka 0, hata kama kasoma ulaya naomba kueleweshwa hapa kidogo.