Miss Reds Tanzania 2014 Sitti Mtemvu kazi anayo, Umri wake utata mtupu

Miss Reds Tanzania 2014 Sitti Mtemvu kazi anayo, Umri wake utata mtupu

Passport yake imepatikana amezaliwa 1989 means ana miaka 24

Yaani kweli umekaa na kupiga mahesabu kuwa ni miaka 24?

Ni 25 kama nayo hiyo hawakushusha angalieni copy ya passport yake imerushwa humu pia.

Kazaliwa 31st May.
 
Jamani ni watu kuandika barua kwa miss world kulalamika tuone matokeo.haya ya watanzajia wengi kujua kuabdika bila kutuma evidence kwa waandaaji haitasaidia.

Kwa insta ya Jestina nimesoma wamesema walijua kabla na ilikuwa nje ya uwezo waokumuondoa katika mashindano.

Sasa hapo ndio mnajiobea uchakachu ea kuwa pesa walishakula zq mbunge na sasa mmh

Mtoto uchu wa kuwa miss TZ na wazazi kusaidiwa deal zao mbovu na za ludenga.

Inabidi avuliwe au asiende miss world kabisaaaaaaaaa
 
Wadau wa jf nisaidieni kwa hili. Primary ni 7yrs, olevel ni 4yrs, adv-level ni 2 yrs, degree ni 3+yrs na masters ni 1 or 2 yrs. Ina mana huyu mlimbwete alianza shule akiwa na mwaka mmoja? Au janja janja?
 
Labda alisoma primary na secondary P.C for 2 years.hahahaha
 
Uso wake wa miaka 33

Aibu yako lundenga



Kama ilivyo desturi JF ni sehemu ya kwanza ya kujipatia habari..

Toka mshindi wa miss Tanzania 2014 Sitti Mtemvu atangazwe yameibuka maswali mengi sana, juu ya umri wake halisi, yeye akisema ana miaka 18 na baba yake akisema amezaliwa 1989 na mama yake akisema amezaliwa 1985, na uku kamati ya miss tanzania ikisema amezaliwa 1991 hivyo ana miaka 23...

Team ya kanzi ilibidi iingie mtaani hapa Dallas ili kuweza kubaini ukweli wa mambo kuanzia elimu yake na umri sahihi, tumeweza kupata nyaraka zake mbali mbali kuanzia za elimu hadi za kuzaliwa, na bila kusahau yale mambo ya faragha nayo pia hayaku kosekanika kama ilivyo desturi mabinti wa kisasa...

Huyu binti Mtemvu ana elimu zaidi ya ile ya form IV aliyoipatia Bongo na kuishia kupata mswaki, na sasa hapa anajishughulisha na mambo ya Acting/modeling

Akiwa amezaliwa 31 May 1989 kama inavyoonekana kwenye passport yake...

JF ni sehemu ya heshima, tunashindwa kuweka picha zake za faragha au video kwa kuwa lengo letu sio kumdhalilisha bali ni kuweka ukweli bayana, kadri siku zinavyo kwenda mengi zaidi yatajulikana juu ya huyu mrembo ambaye wengi mnasema hana sifa hiyo

attachment.php
 
Yaan kwenye umiss waliojitahidi ukubwa walisema wana miaka 23 wenginr 18,19,20,22,,basiii

Kuna watu kila kiungo kina umri wake...

Kwa mfano ukiondoa nywele za kichwani, nywele zilizobaki zote zina umri tofauti na umri wako
 
Kama ilivyo desturi JF ni sehemu ya kwanza ya kujipatia habari..



attachment.php

Wallahi JF kiboko! Binti mwenyewe sura inalipa angeweza kushinda bila hata kuchakachua umri wake, jamani wabongo tuacheni ujanja ujanja mtakuja kukwama mbele ya safari!
 
Wadau wa jf nisaidieni kwa hili. Primary ni 7yrs, olevel ni 4yrs, adv-level ni 2 yrs, degree ni 3+yrs na masters ni 1 or 2 yrs. Ina mana huyu mlimbwete alianza shule akiwa na mwaka mmoja? Au janja janja?

7+4+2+3+2 = 18. sasa unashangaa nini!?
 
Hii leo ni Post ya 7 kuhusu huyu miss tanzania naiona kwenye mitandao ya kijamii kwa hali hii kuna tatizo si bule ANKO rundega vipi....au ile kesi nini watu wanaweka fitina.....
 
Cheze Miss Mtenvu 2014. Sijui Reds wanajisikia shindano tasa kama hili kutumia brand yao ni hatari kwa biashara, Vodacom wajanja walijitoa wakasema Kazi ni Kwako Reds
 
Back
Top Bottom