Eti ana miaka 18, kumbe anaelekea 26.
Zaidi fuata link ya u-turn hapa: U-turn Blog | u turn blog
View attachment 193948
Zaidi fuata link ya u-turn hapa: U-turn Blog | u turn blog
View attachment 193948Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
View attachment 193948Dah kitu kimepikwa hiki yaani mimi mwenyewe leo na miaka 20 ndio naingia mwaka wa3 bachelor of pharmacy..Huyo 18yrs masters holder dah inakatisha tamaa mkuu.
Katufu una roho mbaya sana, nawewe kuwa na miaka 26 uonekane una miaka 18 ili ushinde basi.Eti ana miaka 18, kumbe anaelekea 26.
Zaidi fuata link ya u-turn hapa: U-turn Blog | u turn blog
View attachment 193932
Yeye ndio aachie taji. Tumechoka kudangaywa sasa. Kwenye siasa na michezo wamebobea. Sasa na budulani nako kunavamiwa.....
Sijaona roho mbaya yake hapo iko wapi? Kwani passport inayoonesha kuwa ana miaka 26 sio ya Miss Tanzania? Uwe na akili za kutofautisha roho mbaya na ukweliKatufu una roho mbaya sana, nawewe kuwa na miaka 26 uonekane una miaka 18 ili ushinde basi.
Acheno roho za korosho hizo!
Mimi ni mdau wa elimu,naomba kujifunza kitu hapa.
Miss Tanzania wa mwaka 2014 Sitti Abbas Mtemvu anadai ana umri wa miaka 18 na ana elimu ya shahada ya uzamili (Masters).
Jaman kwa namna ipi na kivipi inakuaje nisaidieni.Inachukua miaka 18 mtu kupata masters.Ina maana alianza shule na miaka 0, hata kama kasoma ulaya naomba kueleweshwa hapa kidogo.
View attachment 193934
Na driving licence nayo inaonesha may 1989.
bikra ya wapi?
Hivi 2014 -1989 mbona ni 25 mmefanya hesabu gani? Miaka hiyo 25 kuwa na master ni sawa. Acheni kumshambulia binti mtieni moyo.
Wale wenye uchu wa kuwa washindi wa
Miss Tanzania Mwaka 2015 Mwenzenu
ameshawaonyesha mbinu inaitwa
CONFUSE THE JUDGES!! Jifunze
Kichina muda ukifika
KAMUA JUKWAANI hata kama
umewatukana ukoo wao mzima kwa
kichina UTASHINDA..
Hivi 2014 -1989 mbona ni 25 mmefanya hesabu gani? Miaka hiyo 25 kuwa na master ni sawa. Acheni kumshambulia binti mtieni moyo.