Money Stunna
JF-Expert Member
- Aug 9, 2011
- 13,053
- 6,304
Tumechoka na hizi habari
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
7+4+2+3+2 = 18. sasa unashangaa nini!?
Wale wenye uchu wa kuwa washindi wa
Miss Tanzania Mwaka 2015 Mwenzenu
ameshawaonyesha mbinu inaitwa
CONFUSE THE JUDGES!! Jifunze
Kichina muda ukifika
KAMUA JUKWAANI hata kama
umewatukana ukoo wao mzima kwa
kichina UTASHINDA..
kwa hyo alianza la kwanza na miaka 0?
Kwan ni mtoto wa mtemvu mbunge?
Hamna cha kushangaza. Passport na huo ufafanuzi wa katibu wa kamati ni uzushi mtupu7+4+2+3+2 = 18. sasa unashangaa nini!?
huyu dada mbona mnamuandama sana. Ths is cyberbullying. Atajiua, muacheni.
Muacheni jamani. Enough
........anachoshangaa ni hiki; alipokua na zero age akaanza la kwanza mpaka la saba (7), sekondari (4), sekondari advance (2), chuo kikuu (3) na mastaz (2); hapa ndo unapata 18... utakua umenisoma anachoshangaa.7+4+2+3+2 = 18. sasa unashangaa nini!?
Mkuu.... hata mamtoni wanamtambua na wamempa driving licence
Kama ya mke wa Mugabe