Miss Reds Tanzania 2014 Sitti Mtemvu kazi anayo, Umri wake utata mtupu

Miss Reds Tanzania 2014 Sitti Mtemvu kazi anayo, Umri wake utata mtupu

Eti ana miaka 18, kumbe anaelekea 26.

Zaidi fuata link ya u-turn hapa: U-turn Blog | u turn blog

1959939_939472886066330_87844011758200436_n.jpg View attachment 193948
 
Hata humu ukiuliza wengi na birth certificates zao au passports wamepunguza umri. Ndivyo waafrika wengi tulivyo. Huko ulaya wengi sana wamekata umri...!!
 
Ni tabia ya waafrika wengi. Hata humu ukiulizia birth certificates na passports wengi wamekata umri, walio ulaya au nje ya nchi pia..
 
Dah kitu kimepikwa hiki yaani mimi mwenyewe leo na miaka 20 ndio naingia mwaka wa3 bachelor of pharmacy..Huyo 18yrs masters holder dah inakatisha tamaa mkuu.

Tuachane na Sitti tuje kwako mzee.
Ina maana chuo umeanza ukiwa na miaka 17,
Form six miaka umemaliza ukiwa na miaka 15,
fomu one umeanza ukiwa na miaka 12,
darasa la kwanza ulianza ukiwa na miaka 5.
Umezaliwa 1994.
HONGERA ZIWAFIKIE WALIOKULETA DUNIANI.
 
Hivi age limit ya Miss Tanzania ikoje? Je Miss World?
Nimesoma sehemu Miss Amerika ni miaka 17 hadi 24.
Kwa umri wake unaoonyesha kwenye hiyo pasipoti asingetoboa mdada.
 
Mimi ni mdau wa elimu,naomba kujifunza kitu hapa.

Miss Tanzania wa mwaka 2014 Sitti Abbas Mtemvu anadai ana umri wa miaka 18 na ana elimu ya shahada ya uzamili (Masters).

Jaman kwa namna ipi na kivipi inakuaje nisaidieni.Inachukua miaka 18 mtu kupata masters.Ina maana alianza shule na miaka 0, hata kama kasoma ulaya naomba kueleweshwa hapa kidogo.



Hivi 2014 -1989 mbona ni 25 mmefanya hesabu gani? Miaka hiyo 25 kuwa na master ni sawa. Acheni kumshambulia binti mtieni moyo.
 
Hivi 2014 -1989 mbona ni 25 mmefanya hesabu gani? Miaka hiyo 25 kuwa na master ni sawa. Acheni kumshambulia binti mtieni moyo.

Ewaaaa.....

Tatizo yeye kasema ana miaka 18 ili awe na vigezo vya kushiriki. Hii rushwa imemnyima mwenye sifa haki ya ushindi. Rushwa ni adui wa haki!!!
 
Wale wenye uchu wa kuwa washindi wa
Miss Tanzania Mwaka 2015 Mwenzenu
ameshawaonyesha mbinu inaitwa
CONFUSE THE JUDGES!! Jifunze
Kichina muda ukifika
KAMUA JUKWAANI hata kama
umewatukana ukoo wao mzima kwa
kichina UTASHINDA..

Tanzania kila kitu kinaweza kuchakachuliwa yaani mkaa ukageuzwa kua uji!!
 
Back
Top Bottom