Miss Reds Tanzania 2014 Sitti Mtemvu kazi anayo, Umri wake utata mtupu

Miss Reds Tanzania 2014 Sitti Mtemvu kazi anayo, Umri wake utata mtupu

sittimtemvu-age4.jpg

http://www.exploretalent.com/resume/sittimtemvu/3582127
 

Attachments

  • sittimtemvu-age.jpg
    sittimtemvu-age.jpg
    125.8 KB · Views: 382
Sitti ni actress amecheza movie moja ya mwaka 2012 kama Funmi - LOST IN ABROAD.

Funmi ni jina la Ki Yoruba, Nigeria.

So yeye amekuwa (kutokana na info za mtandao) ametumia hii fursa ili kujiendeleza katika acting. Kama tunavyoona kuwa age ni mkubwa zaidi ya matakwa etc

Na pesa zenu wananchi ndio zimeonga kumekuchaaaaaaa

sittimtemvu-age3.jpg
 
[h=1]SITTI MTEMVU AMSAIDIA SH. 500,000 MSICHANA HAPPINESS KAAYA MLEMAVU ANAYEISHI NDANI KWA MIAKA 22[/h]
Na Richard Mwaikenda
MWANAFUNZI wa Chuo Kukuu
cha North Texas, Marekani, Sitti Mtemvu, ametoa msaada wa sh. 500,000
kwa msichana Happines Kaaya (22), aliyezaliwa akiwa mlemavu.



Msaada huo alikabidhi kwa mama mzazi wa Happiness, Khadija Msuya katika
hafla iliyofanyika kwenye chumba wanachoishi eneo la Machimbo,
Temeke, Dar es Salaam juzi.



Siti ambaye pia ni Mkurugenzi wa Mtemvu Foundation, alisema kuwa
ameamua kutoa msaada huo baada ya kuguswa na taarifa za msichana huyo
alizozisoma kwenye mafaili ya mfuko huo, zilizopo Temeke, Dar es Salaam.



"Taarifa za msichana huyu, zilinigusa mno kuliko wengine, kiasi

endelea kusoma humu

SITTI MTEMVU AMSAIDIA SH. 500,000 MSICHANA HAPPINESS KAAYA MLEMAVU ANAYEISHI NDANI KWA MIAKA 22 | FULL SHANGWE BLOG

 
View attachment 193711

Ms Sitti Mtemvu Cordially invites you to the first annual Dallas Eid El Fitri Experience. A 3 day event going down from Friday Sept 2 to Sunday Sept 4
Friday (09/02) AGGIES LOUNGE- Karibu Nite "Hello, Goodmorning" Come experience A sophisticated and classy pinnacle night set as the "karibu nite" Great atmosphere accompanied by some good music and beautiful people. The perfect way to begin the EXPERIENCE… Ladies free before 12midnite $10 after. Fellas $10 all Nite. Dress Code strictly enforced please dress to impress. Italian lounge sofas at the heavily decked VIP area is available for reservation. Please call the number on the bottom to reserve a table and bottle services… Doors open at 10pm party till 4am…Aggies 9205 skillman rd ste 134 Dallas Tx 75243
Saturday (09/03) CLAYPIT – The main event "WHITE PARTY." I'm proud to host the night at a classy, high-energy, contemporary Claypit lounge which offers a warm and inviting ambiance. This is a strictly all white event (ladies shoes are exempted) *Anyone not wearing white=$15 * …FREE BOTTLE OF CHAMPAGNE TO THE SEXIEST COUPLE OF THE NITE…rs open at 10pm party till dawn… Everyone gets in for $5 (yep $5) BEFORE 12pm *Anyone not wearing white=$15 * …FREE BOTTLE OF CHAMPAGNE TO THE SEXIEST COUPLE OF THE NITE… Houston finest Dj Kaycee will embrace your night with the best Bongo Flava, Oldies, Hip-Hop, RnB, Mduara, Coupe decalle, lingala and Reggae selections. Doors open at 10pm party till dawn… Everyone gets in for $5 (yep $5) BEFORE 12pm. VIP and Bottle services available for reservation… Claypit Lounge 4460 Beltline Rd Addison Tx 75001
Sunday (09/04) OTARU LOUNGE- Kwaheri Nite "Nice to know ya let's do it again" It's only right to end the experience with a bang… Otaru lounge offers a unique party experience with their drink specials and a cozy atmosphere like none other… Dallas Own Dj Famol will be on the 1 n 2's blazing some of the best African selections…EVERYONE gets in for free before 12pm….doors open at 10pm party till 2am….VIP and bottle service available for reservation…
Asanteni sana and karibuni wote DALLAS….I promise you will enjoy the experience…..
Truly SITTI MTEMVU
For VIP and Bottle Service please contact (469) 254-08...
 
Ludenga ashakula chake. Mshindi #3 ndo alisitahili kwa maoni yangu binafsi.
 
Acheni kumsakama mdogo wangu. Wivu tuu unawasumbua, umri wake unawahusu nini. Nyau nyie
 
Back
Top Bottom