Tanzania inaongoza kwa maajabu duniani
habari ndo hiyo...Kwahyo !?
du...baba na mama hawajui exactly mtoto wao alizaliwa lini!!
wasipomvua taji mwaka huuHiyo ya mama ndo sahihi mana wamama huwa hawasahau huyu binti wa 1985 hiyo mingine wana daganya tu ili asivuliwe taji