Miss Reds Tanzania 2014 Sitti Mtemvu kazi anayo, Umri wake utata mtupu

Majanga.... kumbe eti tayari ana mtoto!!!

Ayaaaa weeee daaah!

Huyu binti atakuwa anatamani ardhi ipasuke apotelee humo.

Hahahahaaaa......

Unajua hizi zama ni vigumu sana kudanganya mambo kama ya umri na mengineyo huku uko active kwenye social media.
 
hadithi njoo,utamu kolea,Leteni habari vijana,mmh.....

passport......driver licence hiyo na kamati mbovu ya miss tz imesema she is 23...hahahahahahaha
 
Miss world mwisho wa age limit ni miaka 24. Lundenga atalinywa hili.

Not yet, mpaka mkome nchi imeoza kabisa hii.

Kwanini humuwaiti dada na wadogo zenu kushiriki ktk mashindano haya.
Wana vigezo mnawaficha.

Binti wa watu kajitokeza, mwaanza maneno.
Ivi ufake ktk TZ ndo unaanza leo.
Everbody is fake somwhre /somehw.
Au mlikua na mtu wenu wa kushinda.
 
Ayaaaa weeee daaah!

Huyu binti atakuwa anatamani ardhi ipasuke apotelee humo.

Hahahahaaaa......

Unajua hizi zama ni vigumu sana kudanganya mambo kama ya umri na mengineyo huku uko active kwenye social media.

Comrade,

Enzi zetu kudanganya ilikuwa rahisi. Hivi sasa ni ngumu sana. Unaweza kuumbuliwa na mwanao!!

Huyu binti ana wakati mgumu sana. Ila nampongeza kwa uvumilivu.
 
Huyu angetufaa sana kuandaa matokeo ya kura za bunge la katiba.
Sijui kwanini Sitta hakumfahamu.
 
Comrade,

Enzi zetu kudanganya ilikuwa rahisi. Hivi sasa ni ngumu sana. Unaweza kuumbuliwa na mwanao!!

Huyu binti ana wakati mgumu sana. Ila nampongeza kwa uvumilivu.

Aisee,, So you want her commit suicide.!!

Kazi ipo.
 
Hujaelewa labda, kwenye mashindano hayo aliyoshindishwa mwaka huu inasemekana ana miaka 18. Umri wake wa ukweli ni 25, ambapo asingeweza kushiriki kwa sababu limit ni 24yrs.

Sawa mkuu.nimekusoma vema
 
Huo mwandiko hapo kwenye signature ya licence.....hatari
 
Hujaelewa labda, kwenye mashindano hayo aliyoshindishwa mwaka huu inasemekana ana miaka 18. Umri wake wa ukweli ni 25, ambapo asingeweza kushiriki kwa sababu limit ni 24yrs.

Kamati ya Miss Tanzania inasema ana miaka 23 amezaliwa 1991 sijui nani ni kweli?
 
Attachments

  • 1413475950343.jpg
    69.1 KB · Views: 223
Da Watoto wa wakubwa kwa tamaa kama baba zao na mama zao kila nafasi wanataka wao,siasa wao ajira nzuri BOT,TRA,VODA,TIGo wao sasa hadi ulimbwede wao,wacha tubaki tuuze ubuyu.
 
Nadhani wabongo tunaongoza kwa uvumi,mie nina ushahidi huyo binti hajafikisha miaka mnayodai.nimemuona binti akiwa mchangq,na hata alivyoenda Us alikuwa kinda 17 or 18.tunashindwa kutofautisha,binti kasoma ktk mazingura yapi nchi ipi?vilevile tuelewe siku hizi beauty and brains ndiyo mpango mzima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…