Miss Reds Tanzania 2014 Sitti Mtemvu kazi anayo, Umri wake utata mtupu

Miss Reds Tanzania 2014 Sitti Mtemvu kazi anayo, Umri wake utata mtupu

mpka mwaka 2013 miss world.
THE ENTRANT MUST NOT BE 25 YEARS OLD BEFORE THEIR NATIONAL PAGEANT.SHE MUST BE 24 YEARS OLD BEFORE HER NATIONAL PAGEANT AND MUST NOT EXCEED 25 YEARS OF AGE BEFORE THE MISS WORLD BEAUTY PAGEANT IS HELD....BUT THERE ARE EXCEPTIONS, IF THE ENTRANT BIRTHDAY IS AFTER HER NATIONAL PAEANT BUT SHE IS STILL 25 THEN YES SHE CAN ENTER.

Let's wait n see
 
Tutake radhi acha kuita watu vichaa mbona kila kitu kiko wazi kabebwa hadi kila mtu kashtukia kupewa taji

hahahahahahahaha hahahahahahahah,, wewe na Ruta mmefanana akili.

Mtanichosha tu. G9t.
 
Last edited by a moderator:
Ni sheeda kwahiyo alipata mtoto akiwa na miaka 10.
attachment.php
 
wait nakuja na thread kabambe iliyojaa ukweli wa kutosha kumsafisha malaika huyu

Ha ita change chochote evidence ziko wazi vigezo hakuwa navo kabisa vya kuwa miss angekua navo hata watu wasi ngeongea kwahyo na passort alifoji kwa ajili gani jipange vzuri kabisa kumsafisha huyo kashapata gundu tayari akubali tu aachie miss world no favouratism
 
What is BEING bullied,.?

Yes, she is being bullied.

Why did you not send ur dada who qualified the age CATEGORY.

TO CONTEST.

mwisho wa siku wote hapa mwaonekana wanafki.

Acha kujiaibisha (wala sikuiti mkuu), to be honest unaandika pumba tupu, hasa hapo kwenye 'send your dada'.

Do you mean wewe una justify usahihi wa hoja yako kwa kuwa uli send your dada?
 
hahahahahahahaha hahahahahahahah,, wewe na Ruta mmefanana akili.

Mtanichosha tu. G9t.

Hoja yako ni hipi?
Ni kweli akili zetu zina fanana!
Unacho nifurahisha huna hoja ya msingi!
Nakuomba kama unayo uweke hapa!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom