majibu yako yatakuja kupatikana kwenye thread ninayoifungua soon
Haya basi ripotini na huku anyimwe visa kabisa https://www.amsallegations.homeoffice.gov.uk/default.aspx/RenderForm/?F.Name=Lf62UB7cz4C
Kudadek akiwachakachua na miss world lazma awe mshirikina
Kumbe lengo lako ni kumsafisha? Amechafuliwa na nani hadi umsafishe? Ajichafue mwenyewe kazi ya kumsafisha uchukue wewe?
mimi nashauri washiriki wenza wakate rufaa ili ngoma irudiwe upya na yeye aenguliwe.
No coz nmesikia ni mtoto wa mkuu wa wilaya dats y nmeuliza
Weww ndio Mtenvu sio!
Umri umepita :thumbdown::thumbdown::thumbdown::thumbdown::thumbdown::thumbdown::thumbdown::thumbdown::thumbdown::thumbdown::thumbdown::thumbdown:We mbona hujampeleka dada yako asie na mtoto akashiriki. ?
Nakuhifadhia tusi.
Lazima atamkana tu huyo mtoto!Aibu yao!kubania tu wenzao,ptuuu!
hahahahaa..! Watanzania ni watu wa kulalama tu.
Ok. Umegundua kwamba there is faking, na unajua kabisa kwanini kuna faking.
Swali. Are u ready to make a difference? Coz either u or ur parents must have faked somewhere mpaka leo wajimwayamwaya hapa.
Take care. Una jicho la TATU.,??
Let's wait n see
Au labda alimaanisha amenza kusex akiwa na miaka 18
Napenda siku wazungu waje wagundua KIFAA CHA KUPIMA MIAKA YA MTU maana tunadanganywa sana na huku mtaani.
we mchepuko wa sitti kelele hapa
unatetea uozo kisa amefanya kipozeo chako
acha kutetea ujinga na tutamdiscuss vizuri tuuuuu
tunamsambazaaaaaaaaaaaaa
na muonr haya matapeli wakubwa
https://www.amsallegations.homeoffice.gov.uk/default.aspx/RenderForm/?F.Name=Lf62UB7cz4C
Haya mnaotaka kutoa taarifa kwa UK border agency ili asipewe visa akae atulie fomu hiyooooooooo
fungu link hii chini
https://www.amsallegations.homeoffice.gov.uk/default.aspx/RenderForm/?F.Name=Lf62UB7cz4C
nawasaidia maana najua wa TZ kwa kulalamika hatujamo, matendo sifuri.