Miss Reds Tanzania 2014 Sitti Mtemvu kazi anayo, Umri wake utata mtupu

Wabongo ni watu wa ajabu sana . Kuna ishu nzito za kitaifa, wamekaa kimya, they dont say any thing. Ila ishu ya SittI Mtemvu kudanganya umri ndo watu wamekomaa utafikiri kitu gani vile. Wabongo tuache kufuatilia mambo ya kijinga. Kwenye mambo ya msingi, hatuko serious, ila kwenye mambo ya kijinga jinga ndio tunakuwa serious!!!
Suala la Sitti Mtemvu is a VERY PRETTY ISSUE.

Mbona hata we ume comment na wewe mule mule huyu anawakilisha nchi lazima tu question mbona kila jambo huwa tuna hoji angekua ana wakilishi familia yake tusingejali tuna kemea uchakachuaji and not otherwise
 
Wabongo ni watu wa ajabu sana . Kuna ishu nzito za kitaifa, wamekaa kimya, they dont say any thing. Ila ishu ya SittI Mtemvu kudanganya umri ndo watu wamekomaa utafikiri kitu gani vile. Wabongo tuache kufuatilia mambo ya kijinga. Kwenye mambo ya msingi, hatuko serious, ila kwenye mambo ya kijinga jinga ndio tunakuwa serious!!!
Suala la Sitti Mtemvu is a VERY PRETTY ISSUE.

Hivi unajua huko jukwaa gani? Weka hapa ulicho wai kucomment kwenye hizo issue nzito za kitaifa na kilicho fanyika!
 
Redds wajitoe kudhamini hili shindano, ni aibu... aibu nyingi zimepita miss Tanzania lakini hii ni kiboko, miss ana mtoto, aiseee.... only Tanzania

ram ,TBL kupitia kinywaji cha Redds huu ndio ulikuwa mwaka wao wa mwisho kudhamini haya mashindano.. na Lundega alikuwa anasema kama wataona ni vyema kuendelea kudhamini haya mashindano atafurahi sana!

Ninacho kiona hii scandal inaweza kuzika kabisa haya mashindano!
 
Last edited by a moderator:

Sidhani kama wataweza kudhamini tena bora waende wakadhamini matamasha ya ngoma huko chuo cha Bagamoyo.Kampuni yoyote yenye hadhi kubwa nadhani hawataweza dhamini kutokana na hii skendo.
 
Last edited by a moderator:
Hoja ni kwamba kadanganya! na hiyo kwenye Umiss ni skendo. awajibike kama alivyowajibika Miss USA (1983) Vanessa William.
 
Wabongo ni watu wa ajabu sana . Kuna ishu nzito za kitaifa, wamekaa kimya, they dont say any thing. Ila ishu ya SittI Mtemvu kudanganya umri ndo watu wamekomaa utafikiri kitu gani vile. Wabongo tuache kufuatilia mambo ya kijinga. Kwenye mambo ya msingi, hatuko serious, ila kwenye mambo ya kijinga jinga ndio tunakuwa serious!!!
Suala la Sitti Mtemvu is a VERY PRETTY ISSUE.

hata tukiongea aende dada yako bado tu matokeo yale yale tutashndwa
 
Sijui akienda huko atasemaje..duuh kwel wabongo ni mambulula kwann alifanya hvyo..coz alijua uwezo wetu wa kuhoji ni mdogo,dharau,rushwa na cheo cha baba...hao wadhamini nao hawafai na wamedharilishwa
 
Wabongo ni watu wa ajabu sana . Kuna ishu nzito za kitaifa, wamekaa kimya, they dont say any thing. Ila ishu ya SittI Mtemvu kudanganya umri ndo watu wamekomaa utafikiri kitu gani vile. Wabongo tuache kufuatilia mambo ya kijinga. Kwenye mambo ya msingi, hatuko serious, ila kwenye mambo ya kijinga jinga ndio tunakuwa serious!!!
Suala la Sitti Mtemvu is a VERY PRETTY ISSUE.

mkuu hapa watu hata ukiwaambia kesho waandamane kumpinga huyu "miss ajuza" watajimwaga barabarani tena kwa wingi hadi utashangaa! unakumbuka jinsi watu waliandamana kupinga vita ya palestina na israel!? Ila waambie mambo ya msingi yanayoligusa Taifa na maisha yetu Kama Katiba, Escrow, Ujangili, Epa, Richmond, Kupanda Hovyo Kwa Bei Ya Umeme! Hutawaona na sanasana watakuambia mie sifatilii siasa!
 
bora uongee wewe yani mimi nakereka nikiona ooh sijui sitti nn aaah hiyo habar sisomi kiufupi sipendi na hivi viblogs uchwara vinavyoandika habar za kijinga jinga

Mkuu yaan tungekuwa tunakomalia hivi na masuala ya kitaifa kama katiba na ufisadi serekalin ingekuwa poa sana, ila ndo "BASI TENA"!
 
wengi wao ndiyo uwezo wao wa kufikiri ulipofikia, wengi wao ukiwauliza hizo ishu kubwa kitaifa kama katiba, escrow/IPTL, ukosefu wa huduma za kijamii, watakujibu mi sifuatilii siasa.

Tatizo huwa mnaendesha mambo kwa kudharau wanao jadili msiyo yapenda na mkidhani basi hawana haki ya kujadili maana mnaona sio ya kitaifa!

Naomba uniambie kati ya hayo uliyo yataja ni lipi limeshawai kupata suluhu pamoja na wewe kuyajadili?
Hebu tuwekee wewe ulijadili na ulichangia nini kwenye hayo mambo?

Unapinga wenzio kujadili unayo yaona siyo ya msingi wakati na wewe unachangia kwenye ambayo unaya hita siyo ya msingi!

Muda mwingine lazima tujue si kila mtanzania atataka kucomment kwenye kila jambo wengine ni wasomaji tuuu!

Naomba uangalie hili ni jukwaa gani!
 
Back
Top Bottom