Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
Hivi Bado Hajazungumza Chochote?????khaaaaaaaaaa!
Atasema nini sasa wakati kila kitu kiko wazi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi Bado Hajazungumza Chochote?????khaaaaaaaaaa!
Wabongo ni watu wa ajabu sana . Kuna ishu nzito za kitaifa, wamekaa kimya, they dont say any thing. Ila ishu ya SittI Mtemvu kudanganya umri ndo watu wamekomaa utafikiri kitu gani vile. Wabongo tuache kufuatilia mambo ya kijinga. Kwenye mambo ya msingi, hatuko serious, ila kwenye mambo ya kijinga jinga ndio tunakuwa serious!!!
Suala la Sitti Mtemvu is a VERY PRETTY ISSUE.
Alifanyaje Grace? Na huyu wa kwetu kwanini hawamnyang'anyi taji?Kama Hii Tu Unashangaa Na Mimacho Kukutoka Je Ya Grace Mugabe Mke Wa Rais Mugabe Wa Zimbabwe Utafanyaje?
Wabongo ni watu wa ajabu sana . Kuna ishu nzito za kitaifa, wamekaa kimya, they dont say any thing. Ila ishu ya SittI Mtemvu kudanganya umri ndo watu wamekomaa utafikiri kitu gani vile. Wabongo tuache kufuatilia mambo ya kijinga. Kwenye mambo ya msingi, hatuko serious, ila kwenye mambo ya kijinga jinga ndio tunakuwa serious!!!
Suala la Sitti Mtemvu is a VERY PRETTY ISSUE.
Alifanyaje Grace? Na huyu wa kwetu kwanini hawamnyang'anyi taji?
Redds wajitoe kudhamini hili shindano, ni aibu... aibu nyingi zimepita miss Tanzania lakini hii ni kiboko, miss ana mtoto, aiseee.... only Tanzania
ram ,TBL kupitia kinywaji cha Redds huu ndio ulikuwa mwaka wao wa mwisho kudhamini haya mashindano.. na Lundega alikuwa anasema kama wataona ni vyema kuendelea kudhamini haya mashindano atafurahi sana!
Ninacho kiona hii scandal inaweza kuzika kabisa haya mashindano!
Wabongo ni watu wa ajabu sana . Kuna ishu nzito za kitaifa, wamekaa kimya, they dont say any thing. Ila ishu ya SittI Mtemvu kudanganya umri ndo watu wamekomaa utafikiri kitu gani vile. Wabongo tuache kufuatilia mambo ya kijinga. Kwenye mambo ya msingi, hatuko serious, ila kwenye mambo ya kijinga jinga ndio tunakuwa serious!!!
Suala la Sitti Mtemvu is a VERY PRETTY ISSUE.
Unbelievable! Labda iwe kama ya JK ya kupewa!Alipata phd ndani ya miezi 3 tu.
Mh! Huyo atakuwa na mastaz au mastabesheni
Redds wajitoe kudhamini hili shindano, ni aibu... aibu nyingi zimepita miss Tanzania lakini hii ni kiboko, miss ana mtoto, aiseee.... only Tanzania
Wabongo ni watu wa ajabu sana . Kuna ishu nzito za kitaifa, wamekaa kimya, they dont say any thing. Ila ishu ya SittI Mtemvu kudanganya umri ndo watu wamekomaa utafikiri kitu gani vile. Wabongo tuache kufuatilia mambo ya kijinga. Kwenye mambo ya msingi, hatuko serious, ila kwenye mambo ya kijinga jinga ndio tunakuwa serious!!!
Suala la Sitti Mtemvu is a VERY PRETTY ISSUE.
Unbelievable! Labda iwe kama ya JK ya kupewa!
bora uongee wewe yani mimi nakereka nikiona ooh sijui sitti nn aaah hiyo habar sisomi kiufupi sipendi na hivi viblogs uchwara vinavyoandika habar za kijinga jinga
wengi wao ndiyo uwezo wao wa kufikiri ulipofikia, wengi wao ukiwauliza hizo ishu kubwa kitaifa kama katiba, escrow/IPTL, ukosefu wa huduma za kijamii, watakujibu mi sifuatilii siasa.
Mkuu yaan tungekuwa tunakomalia hivi na masuala ya kitaifa kama katiba na ufisadi serekalin ingekuwa poa sana, ila ndo "BASI TENA"!
Kuna mwingine naye ni memba humu, yeye kila siku hakui.