Miss Reds Tanzania 2014 Sitti Mtemvu kazi anayo, Umri wake utata mtupu

Sidhani kama wataweza kudhamini tena bora waende wakadhamini matamasha ya ngoma huko chuo cha Bagamoyo.Kampuni yoyote yenye hadhi kubwa nadhani hawataweza dhamini kutokana na hii skendo.

Masharti ya shindano hili msichana hatakiwi kuzidi umri wa Miaka 23!
 
Mkuu yaan tungekuwa tunakomalia hivi na masuala ya kitaifa kama katiba na ufisadi serekalin ingekuwa poa sana, ila ndo "BASI TENA"!

Kwahyo unataka watu tu comment unachotaka we kakomalie kujadili hayo na sisi tu discuss haya kwanza umekosea njia hi ni celebrity forum hafu utuwekee comment zako za msingi ulizo jadili za kitaifa ndo urudi hapa ku jaji
 
Jamani mbona najionea mauzauza hapa, Miss Tanzania ana mtoto, kigezo kimojawapo cha kugomea umiss unatakiwa uwe hujaolewa wala hujazaa, sasa hapa ikoje wadau

Hasa kama baba wa huyo Miss LundeNGA ndiye aliyekuwa mdhamini mkuu wa hayo mashindano ulikuwa unategemea nini kitatokea
 
Last edited by a moderator:
kuna watu wanafkri tunajadili ujinga kwao wanaona mitu kidogo wakati this issue ni kubwa watu hasa kimaadili na kiutmaduni kwani iko chini ya wizara km sikosei wana toa kibali kwa mambo km haya yafanyike
hebu tuambieni nyie magreat think wa jf nchi gani suala la kudanganya umri mf lisingezungumziwa ikiwa huko hao hao kutwa kupimana hasa kwenyr michezo kujua km wanatumia dawa za kuongeza nguvu na wakijua unafungiwa sembuse sie wabongo
by the way this is celebrities forum km unahisi we tunakubore just go to other forum
life is too short sometimes tunahitaji kufurahi
ndo maana hata shuleni kuna mapumziko,kazini kuna mda wa breakfast na lunch
na ndo maana kuna wikiendi na workingdays
 
Kwahyo unataka watu tu comment unachotaka we kakomalie kujadili hayo na sisi tu discuss haya kwanza umekosea njia hi ni celebrity forum hafu utuwekee comment zako za msingi ulizo jadili za kitaifa ndo urudi hapa ku jaji

Jingas hilo achana nalo.
 
Kwahyo unataka watu tu comment unachotaka we kakomalie kujadili hayo na sisi tu discuss haya kwanza umekosea njia hi ni celebrity forum hafu utuwekee comment zako za msingi ulizo jadili za kitaifa ndo urudi hapa ku jaji

Kuna watu wana shobo humu
kujifanya wao ndo 'john visomo'
 
Mkuu yaan tungekuwa tunakomalia hivi na masuala ya kitaifa kama katiba na ufisadi serekalin ingekuwa poa sana, ila ndo "BASI TENA"!

Sasa unataka watu wajadili unachotaka? Hata gazeti la mwananchi la leo limekomalia hii habari na wamechukua vielelezo kutoka hapa!

Naomba muanzishe mada mnayo fikiri ni ya kitaifa na uni tag nije tujadili!
 
Weeee, lazima tutaandamana na mbango tele akwendeeeeeee, anatuwakilisha ati hujasikia ni Miss Tanzania? kwa nini asituhusu sisi wanazania? waambie wabadili title wamuite miss lundenga au miss mtenvu uone kama tutamjadili. Unaelewa kwanini hatumuhitaji kwenye hilo kwa kuwa ni muongo na wewe kujifanya unajua ya maana anza kuandamana kuhusu hizo escrow , sie tuliandamana kwenye key board na vidole kuhusu rich mond na matunda uliyaona.
 
lundenga aliambiwa lakini ALIKATAA ilikua ni kabla ya ,ashindano
 
Nmesoma gazeti mwananchi ya leo lundenga anasema tunaongea sana lakin mwsho tutakaa kimya tu
 
Annko lunde alipoteza hadhi ya hii kitu longtime atafute biznezz mbadala
 
Wale wenye uchu wa kuwa washindi wa
Miss Tanzania Mwaka 2015 Mwenzenu
ameshawaonyesha mbinu inaitwa
CONFUSE THE JUDGES!! Jifunze
Kichina muda ukifika
KAMUA JUKWAANI hata kama
umewatukana ukoo wao mzima kwa
kichina UTASHINDA..

hahahah CONFUSE THE JUDGES APPROACH.......lolest
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…