Anawatoto wawili wa kiume juonn na hanksy
Kuwa na Masters Degee mtu wa miaka 18 siyo jambo la ajabu. Inategemea alisoma nchi gani. Siyo nchi zote zina mfumo wa mirorongo kama unazozijua ikiwamo Tanzania. Si nch zote wanahesabu madaraja ya elimu kwa miaka. Na umri wa kuanza shule wa miaka 7 wa Tanzanai siyo universal.
Ingawa pia ni kweli anavyoonekana ni kama ana umri wa miaka 25/26 hivi. Kwa mwonekano hiyo ni shughuli za majaji. Lakini itabidi awe na IQ ya kutisha ili aweze ku compete vinginevyo itakuwa ngumu kukaa karibu na mabint wa Venezuela, Israel, India, Guatemala, Meixico, Brazil ambao mara nyingi huonekana kama wametoka kiwandani special kwa ulimbwende.
umeenda mbali sana 35?
5 year std 1. Then elementary 5years makes her 10years. O-level 4 years makes her 14. Direct to 3 years college for 1st degree makes her 17. Then 1 year masters makes her 18
Alikuwa anaigiza huko Dallas miaka 2 plus iliyopita. Hana miaka 18. Ana miaka 25 at least.
Source: Explore Talent Acting Profile - Sitti Mtemvu | 25 years old Acting | Dallas TX 75243 - ExploreTalent.com
Angalia na clip ya hii movie aliyoigiza miaka ya nyuma:
Mtemvu si ndiye kahonga ili mtoto wake apendelewe alifikiri yuko kwenye uchaguziWewe ndiyo unayechakachua. CCM kwenye umiss inahusika vipi? chuki zako zisizo na msingi kwa CCM hapa zimekuumbua.
Anawatoto wawili wa kiume juonn na hanksy
5 year std 1. Then elementary 5years makes her 10years. O-level 4 years makes her 14. Direct to 3 years college for 1st degree makes her 17. Then 1 year masters makes her 18
Sio lazima usome primary school miaka 7 unaweza soma hata 4 tu, na sio lazima usome o level miaka 4 unaweza soma hata 2 tu, na sio lazima usome advance miaka 2 hata miezi 6 inawezekana, inategemeana tu na IQ yako na uwezo wako kifedha na mtaala unaotumika sehem ulipo
ana miaka 18 na ana masters...
Akili tope kama wewe huwa mnaboa sana
Usishangae kwa shule za Cambridge wanasoma primary miaka miwili yani 1-2 mwaka 1 na 6-7 mwaka 1,
akiingia sec anasoma miaka miwili anaanza degree! yani ni ful kuvukishwa.... sio elimu yetu ya ngaz kwa ngazi
Mtemvu si ndiye kahonga ili mtoto wake apendelewe alifikiri yuko kwenye uchaguzi