Miss Reds Tanzania 2014 Sitti Mtemvu kazi anayo, Umri wake utata mtupu

Miss Reds Tanzania 2014 Sitti Mtemvu kazi anayo, Umri wake utata mtupu

5 year std 1. Then elementary 5years makes her 10years. O-level 4 years makes her 14. Direct to 3 years college for 1st degree makes her 17. Then 1 year masters makes her 18
 
Kuwa na Masters Degee mtu wa miaka 18 siyo jambo la ajabu. Inategemea alisoma nchi gani. Siyo nchi zote zina mfumo wa mirorongo kama unazozijua ikiwamo Tanzania. Si nch zote wanahesabu madaraja ya elimu kwa miaka. Na umri wa kuanza shule wa miaka 7 wa Tanzanai siyo universal.

Ingawa pia ni kweli anavyoonekana ni kama ana umri wa miaka 25/26 hivi. Kwa mwonekano hiyo ni shughuli za majaji. Lakini itabidi awe na IQ ya kutisha ili aweze ku compete vinginevyo itakuwa ngumu kukaa karibu na mabint wa Venezuela, Israel, India, Guatemala, Meixico, Brazil ambao mara nyingi huonekana kama wametoka kiwandani special kwa ulimbwende.

amesoma tz form six kamaliza 2007 bongo hii
 
5 year std 1. Then elementary 5years makes her 10years. O-level 4 years makes her 14. Direct to 3 years college for 1st degree makes her 17. Then 1 year masters makes her 18

Wewe ni mmoja wa makuwadi wake wa umiss??!! Fafanua hiyo elimu yake!!
 
Last edited by a moderator:
5 year std 1. Then elementary 5years makes her 10years. O-level 4 years makes her 14. Direct to 3 years college for 1st degree makes her 17. Then 1 year masters makes her 18

Elimu ya nchi gani??
 
Sio lazima usome primary school miaka 7 unaweza soma hata 4 tu, na sio lazima usome o level miaka 4 unaweza soma hata 2 tu, na sio lazima usome advance miaka 2 hata miezi 6 inawezekana, inategemeana tu na IQ yako na uwezo wako kifedha na mtaala unaotumika sehem ulipo

Akili tope kama wewe huwa mnaboa sana
 
Huyu mbona kakomaaa hadi papuchiii...huyo she is more than 30 years...frankly speaking HUYU NI TAPELI KAMA BABA YAKE MBUNGE WA TEMEKE....Abbas Mtemvu alikuwa anauza wanawake nchi za kiarabu eti akisingizia anawatafutia kazi....shame on him....SO HUYU SITTI KARITHI UONGO NA UTAPELI KWA FAMILIA YAO...HATA YEYE KUCHAGULIA NI MBINU ZA BABA NA LUNDENGA....ALIPEWA MASWALI NA MAJIBU YOTE...SO ALIJUA KILA KITU KABLA YA MASHINDANO....LUNDENGA KAHONGWA HELA NDEFU NA MBUNGE WA TEMEKE, ABBAS MTEMVU....ndio maisha ya mjini...huyu ni kibibi kabisa...kana above 30 yrs...nina zake..si ajabu papuchi ishaenda overhaul 5-7 times...nina zake
 
Usishangae kwa shule za Cambridge wanasoma primary miaka miwili yani 1-2 mwaka 1 na 6-7 mwaka 1,
akiingia sec anasoma miaka miwili anaanza degree! yani ni ful kuvukishwa.... sio elimu yetu ya ngaz kwa ngazi


mkuu acha bac uongo ujue n dhambi kubwa sana
 
Mtemvu si ndiye kahonga ili mtoto wake apendelewe alifikiri yuko kwenye uchaguzi

Ha ha ha Tanzania kuna maajabu kuchakachua kuanzia BMK sasa hapo wakakosea na kuchakachua miaka hafi ushindi
 
Back
Top Bottom