Miss Reds Tanzania 2014 Sitti Mtemvu kazi anayo, Umri wake utata mtupu

Miss Reds Tanzania 2014 Sitti Mtemvu kazi anayo, Umri wake utata mtupu

KALI YA MWAKA KUHUSU MISS TANZANIA 2O14



1898147_814574671939813_7563865594672791502_n.png


Miss Tz 2014 ana miaka 18... Ana Masters!!!!
Piga hesabu:
Miaka 7-Primary
Miaka 4-O level
Miaka 2-A level
Mwaka 1-Masters

Miaka 3-1st Degree
Kwa hiyo alianza shule akiwa na mwaka 1...


Mbona huu uso sio wa miaka 18.
 
Wakuu habari Zenu

Naomba Kujua profile la Huyu mwakilishi wa nchi yetu Katika Tasnia ya ulimbwende kwa mwaka huu 2014

Amesoma/anasoma wapi na anafanya nini nk.
 
Wewe ndiyo unayechakachua. CCM kwenye umiss inahusika vipi? chuki zako zisizo na msingi kwa CCM hapa zimekuumbua.




Ccm bwana wanachakachua mpaka kwenye umiss yaani tanzania ni noma masikini anakabwa kila kona yaani hapumui !!! Ccm ni shiiiiidaaaaa
 
Ndo huyo......
 

Attachments

  • 1413376555531.jpg
    1413376555531.jpg
    45.2 KB · Views: 2,843
  • 1413376569633.jpg
    1413376569633.jpg
    59.5 KB · Views: 2,683
  • 1413376584635.jpg
    1413376584635.jpg
    43.3 KB · Views: 2,803
Mbona miss mwenyewe anaonekana kama bonge bonge, au ni macho yangu tu wadau?
 
Wafuatiliaji wa ulimbwende ngoja waje watakujuza tu
 
KALI YA MWAKA KUHUSU MISS TANZANIA 2O14



1898147_814574671939813_7563865594672791502_n.png


Miss Tz 2014 ana miaka 18... Ana Masters!!!!
Piga hesabu:
Miaka 7-Primary
Miaka 4-O level
Miaka 2-A level
Mwaka 1-Masters

Miaka 3-1st Degree
Kwa hiyo alianza shule akiwa na mwaka 1...


HII KWELI KALI..............Au Hajasoma Bongo???
 
Hii nchi yetu ya ajabu kabisa. Watu wanadanganya mchana kweupe halafu watu wanaishia kulalama siku mbili tatu kwisha. Chukueni hatua msiishie kulalama tu
 
Back
Top Bottom