KALI YA MWAKA KUHUSU MISS TANZANIA 2O14
![]()
Miss Tz 2014 ana miaka 18... Ana Masters!!!!Piga hesabu:Miaka 7-PrimaryMiaka 4-O levelMiaka 2-A levelMwaka 1-Masters
Miaka 3-1st Degree
Kwa hiyo alianza shule akiwa na mwaka 1...
Mbona huu uso sio wa miaka 18.