mtoto matataa
JF-Expert Member
- Sep 15, 2012
- 391
- 249
Mmmmh yamshukeeee...watoto wawili anajipelek wapi ulingoni
embu tuwekeeni na vi evidence jamabi wengine matomasi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mmmmh yamshukeeee...watoto wawili anajipelek wapi ulingoni
Haya wale wote mnaobisha angalieni hii hapa
Pamoja na hôte hayo uzee hauna janja janja ukifika umefika
![]()
Huyu kazaliwa 24 July 1969 (JENIFER LOPEZ) na kwa picha hii ana miaka 45
![]()
Ebu tuangalie na picha ya huyu tunaambiwa eti ana miaka 18, Duh!!! Tanzania ni nchi ya maajabu kweli kweli.
Au labda alimaanisha amenza kusex akiwa na miaka 18
Ndo huyo......
Naye king'ang'anizi watoto wawili steel analazimisha kuwa miss Tanzania kazidi ubinafsi huo
mkuu kwani naongeaga nonsense???leo matope umeongea sensible ishu
View attachment 193687hii nchi ya kijinga sana...hiii ni profile yake ya 3 years ago
Anafaa afungwe. Ila mtoto wa Nyoka ni nyoka,anyang'anywe taji pia.
Na watu kama nyie mnaongea kwa kutumia mifano ya umasikini wenu kama sample ya maisha ya watanzania wote huwa mnaboa sana
Na watu kama nyie mnaongea kwa kutumia mifano ya umasikini wenu kama sample ya maisha ya watanzania wote huwa mnaboa sana