Diva Beyonce
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 12,913
- 11,271
Wampe Jihani ilo taji au miss Arusha mwenyewe hana vigezo na umri kadaganya huku kubebana si ajabu akafoji cheti cha kuzaliwa bongo kila kitu kinawezekana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona kwapa limekomaa sana!
Anyang'anywe taji kwa kudanganya au kwa kuwa na miaka mingi? Kwani miss anatakiwa awe na miaka mingapi?
pambafu nendaaa huko usitufanye sisi mazuzu alaaa .......kwanza inawezekana wewe umerudia rudia madarasa mpaka sasa unatumia jina la jilan yako..
mkuu kwani naongeaga nonsense???
Mumuache miss bonge reds tanzania 2014
Miaka yake inarudi nyuma haiendi mbele
Hahahahaj
Uso umemkomaa kama ana 33!!
Mh! Huyo atakuwa na mastaz au mastabesheni
huyu dada ana miaka 25 au kuendelea. anaonekana kabisa mifupa yote imeshajiorganize katika mwili wake.
Achana nalo jinga hilo usikute Mama yake keshauzwa Uarabuni na Mtemvu kwenda kuchezea zakari za Waarabu.
Achana nalo jinga hilo usikute Mama yake keshauzwa Uarabuni na Mtemvu kwenda kuchezea zakari za Waarabu.
Angalia mashavu yalivyolegea na kwapa zilivyonyeusi ndo utagundua kuwa ni kibibi
18yrs of age
Minus 2yrs masters 3yrs bachelor = 13yrs of age
Minus 6yrs secondary education = 7yrs of age
Minus 7yrs primary education = 0yrs of age
Minus 2yrs nursery school = -2yrs of age
Minus 3yrs ya kugrow at hom kabla ya nursery xcul = -5 yrs of age
So ur friend jus conjured a new miracle,, alianza kusoma 5yrs kabla hajazaliwa
Huyo ni Miss Tz wetuuu...
Bado tu wanamwandama miss tz
Kwani Wema alipokonywa? mnajisumbua hapokonywi mtu Taji labda angekuwa mtoto wa mkulima