Miss Reds Tanzania 2014 Sitti Mtemvu kazi anayo, Umri wake utata mtupu

Miss Reds Tanzania 2014 Sitti Mtemvu kazi anayo, Umri wake utata mtupu

kadhalilishwa kua ni muongo kitu ambacho si kweli

Tuonyeshe passport yake na living certificate ya form4 ili tujue kama anasingiziwa.
Ila hata mashavu na kwapa zinaonaonesha amekomaa kuliko umri aliouandika kwenye mashindano
 
Hii ndo Tz yetu miss Gumegume lililoshindikana hata kwa mtume kakomaa hatari.Yule ana 30+.

Yaani Haya si mashindano Bali ni mpeano.Uncle lunde anachofanya aliyempa papuchi bila kumsumbua ndo mshindi.
 
Hii ni aibu kubwa kwa familia yake pamoja kamati nzima inayohusika na uandaaji wa mashindano ya umiss.

Inakuwaje hadi wakati huu wa karne ya 21 wapo watu wanaofanya mambo kijima?

Hivi walishindwa nini kuthibitisha taarifa za wasichana hao kipindi wanaomba kuwania umiss! Tena njia zipo kemkem?

Huu upuuzi wa kuwa na watu vilaza ambao wamekabidhiwa mamlaka nyeti tutauendekeza mpaka lini!

Kwanza huyo msichana sura yake tu nilipoiyona niliitilia shaka. Sura inaonyesha kabisa ana zaidi ya miaka 25 ila bila aibu yeye anajitangaza kuwa ni teenage! Mpuuzi kweli huyo binti.

Na kama kweli waandaaji hawatatuomba msamaha waTz, basi kweli tutazidi kuizamisha nji hii. Mambo ya namna hii yanakera sana, dunia hii inatuonaje waTz?
 
hahahahaa..! Watanzania ni watu wa kulalama tu.

Ok. Umegundua kwamba there is faking, na unajua kabisa kwanini kuna faking.

Swali. Are u ready to make a difference? Coz either u or ur parents must have faked somewhere mpaka leo wajimwayamwaya hapa.
Take care. Una jicho la TATU.,??

Sijakuelewa
 
Hehehe dah!

Sasa baba mwenyewe ni CCM mnategemea nini?
Na cha kushangaza kuna watu wanamtetea kabisa eti kwa sababu kila kitu fake siku hizi hivyo na hili kwanini linashupaliwa. That is how low we have stooped as a people. Mpaka uongo unaonekana hauna tatizo kabisa.

Tatizo la hao wanaomtetea ni kuwa wanadhani kwamba kila mtu ni fake ama anafanya mambo fake kama wao jinsi walivyo na walivyozoea...Haiko ivyo hata kidogo.Sasa kama mtu anafanya cheating ya namna hiyo watu wasitoe ukweli???? Na kutoa ukweli inakuwa ni kumdhalilisha mtu??? Ebo..Kwanini Huyo miss awe mwongo kama madhara ya uongo wake alikuwa anayafahamu??!!..
 
Ha ha lazima akitetee kipozeo chake kili cho bugi ku cheat miaka akasahau vigezo muhimu

watu wanahisi tuna chuki hamna ishu ni kwamba tunafatilia hivi vitu hata km havina maadili ndo mfumo umesharuhusu viwepo so tunaviangalia
ila mwakani hawanioni tena kupoteza mda wangu mwaka huu ndo nami nimehitimu
uwepo wake hauniathiri wala kutokuwepo hakuniathiri
mi kantibua jitu zee limeniweka hadi saa sita
 
Hivi hakuna namna ya kuiriopot Miss world? tena.zinatumwa na evidence zote
 
watu wanahisi tuna chuki hamna ishu ni kwamba tunafatilia hivi vitu hata km havina maadili ndo mfumo umesharuhusu viwepo so tunaviangalia
ila mwakani hawanioni tena kupoteza mda wangu mwaka huu ndo nami nimehitimu
uwepo wake hauniathiri wala kutokuwepo hakuniathiri
mi kantibua jitu zee limeniweka hadi saa sita

Waliniuzi nilipoteza mda wangu bure cha kushangaza mwanzon kabla hawajapita kuna mmama alipanda na bahasha ya washindi nikajiuliza ina maana majaji wamejuaje mshindi na akienda miss world lazima watu wamchongee na Tanzania ifutiwe ushiriki kama ile team ya under 17
 
najiuliza, why her.!? Au kwa vile nafasi ya baba yake.? Kuna siasa hapa.

Na wewe huu ndo mchango wako mkuu?!!ndio maana sioni ajabu Tanzania kutajwa kuwa ni miongon mwa nchi ya watu wenye IQ ndogo kabisa dunian!!
 
Bro u made my day... ila huyu dada nahisi atakuw amesoma kwa cstm ya cambrige... c bure maana hiyo speed aliyotuonesha hata ukisoma kila mwaka kwa kuruka darasa moja still huwez fka masters in 18 yrs hata kama ukianza kusoma ukiwa na mwaka m1...

Ila mama yake mzazi kashakiri kuwa mwanae kazaliwa 1985 mwezi wa 5 na kwa sasa ana miaka 29 na ana watoto wawili huyo SITI MTEMVU
 
jamani huyo miss kama kazaliwa na kukulia tanzania basi watakuwepo mabinti ambao kakua nao na kusoma nao wajitokeze penye vyombo vya khabari watoe ushuhuda sababu kiukweli ni jambo la fedheha kama kuna watu wanahoji kuwa kuna ghilba imefanyika.
Na malalamiko haya kamati ya ankal lunde hivi hajayaona na kutoa tamko?
 
Waliniuzi nilipoteza mda wangu bure cha kushangaza mwanzon kabla hawajapita kuna mmama alipanda na bahasha ya washindi nikajiuliza ina maana majaji wamejuaje mshindi na akienda miss world lazima watu wamchongee na Tanzania ifutiwe ushiriki kama ile team ya under 17

mimi je vivyo hivyo wametupotezea mda wehu hawa
 
ushahidi mwingine huu hapa,ana mtoto(amekiuka masharti) ,pili umri wa mtoto its about 8 years..... so alizaa wakati ana miaka 10?plus MASTERS....ama kweli haya ndo maajabu ya Uncle Lundenga under the influence of Mzee Mtemvu

10624704_10204097147404434_6586498244981592760_n.jpg

Kuna ushahidi gani kama huyo mtoto ni wake mkuu?
 
Back
Top Bottom