Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila mama yake mzazi kashakiri kuwa mwanae kazaliwa 1985 mwezi wa 5 na kwa sasa ana miaka 29 na ana watoto wawili huyo SITI MTEMVU
Wabongo ni watu wa ajabu sana . Kuna ishu nzito za kitaifa, wamekaa kimya, they dont say any thing. Ila ishu ya SittI Mtemvu kudanganya umri ndo watu wamekomaa utafikiri kitu gani vile. Wabongo tuache kufuatilia mambo ya kijinga. Kwenye mambo ya msingi, hatuko serious, ila kwenye mambo ya kijinga jinga ndio tunakuwa serious!!!
Suala la Sitti Mtemvu is a VERY PRETTY ISSUE.
Kamati ya Miss Tanzania inasema ana miaka 23 amezaliwa 1991 sijui nani ni kweli?
wengi wao ndiyo uwezo wao wa kufikiri ulipofikia, wengi wao ukiwauliza hizo ishu kubwa kitaifa kama katiba, escrow/IPTL, ukosefu wa huduma za kijamii, watakujibu mi sifuatilii siasa.
Wabongo ni watu wa ajabu sana . Kuna ishu nzito za kitaifa, wamekaa kimya, they dont say any thing. Ila ishu ya SittI Mtemvu kudanganya umri ndo watu wamekomaa utafikiri kitu gani vile. Wabongo tuache kufuatilia mambo ya kijinga. Kwenye mambo ya msingi, hatuko serious, ila kwenye mambo ya kijinga jinga ndio tunakuwa serious!!!
Suala la Sitti Mtemvu is a VERY PRETTY ISSUE.
Miafrika ndivyo tulivyooo watu wa hovyoo sana na ndio maana wanatuona kama wale wala ndizi.
ram hapo hapo ulipo pokea :thumbup::thumbup::thumbup: nilisikitishwa mno na mashauzi aliyoyafanya mbele ya vyombo vya habari kuwa kawatafutia watanzania kazi ya ubeki 3 arabuni nilishangaa sana, nikajiuliza kwani mtu akiwa mnene sana akili inapata mushkeli? Manake kuna wale wa kule mjengoni mmoja alikuwa akimponda jaji warioba na yule aliyenengua miuno viunoBaba yake Abbas Mtevu aje atoe tamko binti yake ana miaka mingapi
Familia full mangumashi, mnachukua ndugu zetu eti unaenda kuwatafutia kazi uarabuni... u-house girl? Mbunge wa temeke come this way utuambie binti yako ana miaka mingapi?
ram hapo hapo ulipo pokea :thumbup::thumbup::thumbup: nilisikitishwa mno na mashauzi aliyoyafanya mbele ya vyombo vya habari kuwa kawatafutia watanzania kazi ya ubeki 3 arabuni nilishangaa sana, nikajiuliza kwani mtu akiwa mnene sana akili inapata mushkeli? Manake kuna wale wa kule mjengoni mmoja alikuwa akimponda jaji warioba na yule aliyenengua miuno viuno
Nimesoma habari toka Mwananchi with tittle "KASHFA NZITO MISS TANZANIA" kuna sehemu wame-quote Lundenga anasema "..Ni changamoto kubwa, lakini naamini ndio kukua kwa mashindano, mwaka jana na juzi walisema shindano limedoda, mwaka huu wanalizungumzia wiki nzima, acha watu waseme ni upepo utapita"
Kauli hii ya Mhishimiwa Lundenga ni ya dharau na ya kusikitisha. Kamati yake ina kanuni na moja katika kanuni ni sifa ya kuwa na umri usiopungua miaka 18 hadi 23... Kwa uthibitisho uliotoka katika mitandao ya jamii na hata katika gazeti la Mwananchi kuonyesha drivers' lisence na pasi ya kusafiria ya nchi, bado anasema ni upepo tu utapita!!! Kwa hiyo anataka kutuambia strategy yao kama kamati ilikuwa kupaisha umaarufu wa shindano kwa kashfa ya namna hii!!! Yaani kanuni walizojiwekea wenyewe wamevunja wao tena, sasa huyu miss TZ ana thamani gani sasa, yaani tutampa bendera mrembo feki, wengine wanamuita Mrs!!! F@%$ck these people...
Hakika ni dharau, na kwa kweli nimeamini Mzee Lundenga ni mbabaishaji na mchumia tumbo tu!!! Haiwezekani pasi ya kusafiria ithibitishe umri ya "miss TZ" halafu ujibu hivyo... NImemdharau sana huyu mzee...
"Miafrika ndivyo tulivyo"
Kuna mwingine naye ni memba humu, yeye kila siku hakui.