Miss Reds Tanzania 2014 Sitti Mtemvu kazi anayo, Umri wake utata mtupu

Miss Reds Tanzania 2014 Sitti Mtemvu kazi anayo, Umri wake utata mtupu

18yrs of age
Minus 2yrs masters 3yrs bachelor = 13yrs of age

Minus 6yrs secondary education = 7yrs of age

Minus 7yrs primary education = 0yrs of age

Minus 2yrs nursery school = -2yrs of age

Minus 3yrs ya kugrow at hom kabla ya nursery xcul = -5 yrs of age

So ur friend jus conjured a new miracle,, alianza kusoma 5yrs kabla hajazaliwa

Huyo ni Miss Tz wetuuu...
Bado tu wanamwandama miss tz

mm napita ndio mambo ya kanda maalum hata mbinguni tuko na kanda maalum
 
Tumalize mjadala hivi, hatutawakilishwa mwaka huu (sina uhakika maana sijui hiyo miss World inafanyika lini maana nimependa uchambuzi wa miaka) ila tumpe Lundenga ajipange upya ili ajirekebishe ubazazi wake.
 
Mjadala uishe ili mueendelee kula pesa za watanzania?

Hivi hauoni kuwa inabidi ashuahe taji ilo ndipo aachwe na huyi kudenga nae asepe.

Wamezoea kuchakachua, za mwizi 40.

Eti abadilike abadilikie nini tena wamvue apewe anayefuata.
 
Jamani si ndio kama hivi? Au mlitakaje? Jamii Forums inasomwa dunia nzima watanzania wameshafanya kazi yao ya kuweka ushahidi, mamlaka zinazohusika ndio zitachukua hatua

Kuweka ushahidi kwny forum haitoshi pia lazima upelekwe kwenye sehemu husika,,,,, though sijui kama tz inatumia electronic recods as evidence!!
 
Mjadala uishe ili mueendelee kula pesa za watanzania?

Hivi hauoni kuwa inabidi ashuahe taji ilo ndipo aachwe na huyi kudenga nae asepe.

Wamezoea kuchakachua, za mwizi 40.

Eti abadilike abadilikie nini tena wamvue apewe anayefuata.

Mkuu chill kidogo, unaweza kushangaa anayepewa hilo taji baada ya huyo bint Mtemvu kunyang'anywa naye ni muongo hivyo hivyo.
 
Always small mind discusses people.

i think people are discussing issues here,very serious issues and not SITTI personally but u cant avoid involving her since those issues are about her. im sure ur smart enough to see there is FRAUD/FORGERY/SCANDALS and probably CORRUPTION involved here. Someone was denied her right to be miss tanzania by those issues.
 
Mimi ni mdau wa elimu,naomba kujifunza kitu hapa.

Miss Tanzania wa mwaka 2014 Sitti Abbas Mtemvu anadai ana umri wa miaka 18 na ana elimu ya shahada ya uzamili (Masters).

Jaman kwa namna ipi na kivipi inakuaje nisaidieni.Inachukua miaka 18 mtu kupata masters.Ina maana alianza shule na miaka 0, hata kama kasoma ulaya naomba kueleweshwa hapa kidogo.

I think people should stop keep on complain and send their queries to the management of those who are responsible in preparation of MISS WORLD through this link.... Contact
 
Back
Top Bottom