Miss Rukwa 2018 wonders shall never end

Miss Rukwa 2018 wonders shall never end

Kalenda ya Umri wa Ma Miss huwa inahesabiwa vipi?

Kwa Miaka nane Mfululizo Wema Sepetu aliganda kwenye Miaka 26 Kila akisherehekea birthday alikuwa akisema happy 26 years

Wataalam wa Masuala ya Umri watusaidie
Maana huyo Mama aneitwa ana Miaka 23 Sijui Kama wanatumia kalenda Kama yetu or not?
 
Duhh...

Yani Rukwa hakuna warembo kabisa...!!!!???
 
Hili shindano linaitwa ni la urembo.
Nashangaa sioni make up kibao, na mambwembwe ya kitasha ya accessories; maana huo ndo urembo.

Otherwise, wangeita shindao la uzuri na vipaji.
 
Mbona sio mbaya. Maybe aliempaka make up hakumpaka vizuri .na kwenye kuchaguliwa hawaangalii sura peke yake .kujiamini, talent na personality vinachangia.kujua kujieleza. Ukiangalia miss world nchi nyengine ma miss sura zao ni za kawaida tu
 
Back
Top Bottom