Mzigua90
JF-Expert Member
- Sep 23, 2014
- 38,342
- 88,625
Ukiachana na picha huo wanja haustahili kwenda nao miss Tz. Bora angebaki bila nyusi kama mimiKuna watu sio photogenic. Tumuone live kwanza.
Huwezi mjudge mtu kwa picha ,tena picha moja
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukiachana na picha huo wanja haustahili kwenda nao miss Tz. Bora angebaki bila nyusi kama mimiKuna watu sio photogenic. Tumuone live kwanza.
Huwezi mjudge mtu kwa picha ,tena picha moja
HahahahahaaaHongera mkuu...mpe hongera shemeji[emoji39] [emoji39] [emoji39]
Basilla Mwanukuzi. Jiandae final ya Miss Tz twendeeNani kayarudisha haya mashindano?
Hahaahahaaaa.Hakuna App ya kusogeza hako ka emoji kwenye Avatar?
Rukwa unapajua? Unaujua wanja wa rukwa ? Wenzake umewaona?Ukiachana na picha huo wanja haustahili kwenda nao miss Tz. Bora angebaki bila nyusi kama mimi
Basi tuseme hawastahili kugombea tajiRukwa unapajua? Unaujua wanja wa rukwa ? Wenzake umewaona?
Kibonge na chura lako!![emoji28][emoji28][emoji28]Wamechemka. Hata mie kibonge navutia kumshinda miss
Sana binti mdogo sana huyu.kuna watu picha zinatufanyaga vibayaShe is cute and pretty!
Kibonge na pasi yangu [emoji23][emoji23][emoji23]Kibonge na chura lako!![emoji28][emoji28][emoji28]
Kabisa mm mwenyewe namuona ni nzuri tena anaweza kuwazidi hao tunaozani ni wazuri kuliko nachoamini beauty is subjective.Mbona yupo vizuri tu, hizo make up tu ndo zinatatiza.
Kwa hiyo avatar hapo huo siyo mwili wa pasi!Kibonge na pasi yangu [emoji23][emoji23][emoji23]