Miss Rukwa 2018 wonders shall never end

Miss Rukwa 2018 wonders shall never end

Miss Rukwa.......
Mobeto mwenyewe alitokeaga miss Lindi, akija mjini atang'aa tuu
 
Sijui kama una tabasamu mwanana kama lake. Naona makeup imeshake kidogo. Usishangae akiwa ndio miss Tz 2018
 
Teddy usifanye tena haya mashindano,yanadhalilisha sana wanawake wewe included
 
Mnamponda huyu aliyeshinda hao wengine alioshindana nao mumewaona mkalinganisha na huyu....ujudge mjue ni kazi ngumu sana hususani katika maswala ya urembo katika maeneo flan flan
 
Jamani mikoa mingine waachane tu na haya mambo ya umiss...😱
 
Back
Top Bottom