Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji3][emoji16]hapana huyu nakataaMiss Rukwa.......
Mobeto mwenyewe alitokeaga miss Lindi, akija mjini atang'aa tuu
Wewe ndio una macho mabayaMbona anasura mbaya hvyo? Duh
Kwa hiyo unafikiri atarudia makosa!Make up yake mbaya kiukweli. Ila kama mrembo make up ni jambo la muhimu sana. Na napingana na wewe hapo. Ataishia kwenye zone
Kuna mashindano Special kwa ajili yenu vibongeWamechemka. Hata mie kibonge navutia kumshinda miss
Yakianza ntaendaKuna mashindano Special kwa ajili yenu vibonge
We jamaa dah! nimecheka sana sio kwa comment hii.Nilizani Joti, hadi nilipotikisa simu vizuri ndio nimeona kumbe sio yeye
Nilizani Joti, hadi nilipotikisa simu vizuri ndio nimeona kumbe sio yeye
Kipozeo anakwambia zigo linapita kama halina mwenyewe!![emoji23]Kibonge zile type za sheikh kipozeo au kibonge minyama uzembe?