Ghwakukajha
JF-Expert Member
- Apr 27, 2008
- 245
- 102
Angela Lubala-Miss Reds Premium
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
![]()
Nasreem Karim
List imejaa wachaga......
Nimefurahi kuwa top mshindi na yule wa tatu wametoka katika list yangu. Yule mshindi wa pili pia alikuwa karibu sana na macho yangu kwenye list ingawa sikumpa nafasi kubwa sana nikilinganisha na wale niliokuwa nimewatanaguliza. Hali ndivyo ilivyo, macho yangu huona kwa kutumia ultra violet light, hivyo naweza kutofautiana na wengi.
Kilichonisikitasha kwa sasa ni taarifa nilizosoma baadaye kutoka vyanzo mbali mbali kuhusu tabia za huyu Miss Tanzania wetu wa mwaka huu. Sina uhakika na taarifa hizo lakini kama taarifa hizo ni za kweli, basi zinanifanya nifikirie mara kumi umuhimu wa kuendela na mashinado ya namna hii bila kuwa na standard thabiti. Najua kuwa washindi wa mashindanio haya huwa wanapata exposure ya kimataifa ambayo pia huwawezeasha kupata mikataba ya kimataifa na hivyo kujiendeleza kiuchumi wao binafsi na familia zao na taifa zima kwa jumla. Jambo linalotia wasiwasi ni kuwa washindi wa mashindano haya wanagubikwa na rekodi mbaya (kulingana na taarifa za pembeni kama ni za kweli) wanaweza kuweka mfano mbaya kwa watoto wa kike wanaotafuta namna ya kukwamuka na ufukara wakizania kuwa njia moja ya mafaninkio ni kuendeleza tabia mbaya za namna hiyo.
Hizi Picha naona wamechukua vibaya..maana nimejitahidi kuifanya akili yangu ipate picha ya uzuri kwa hawa mabinti lakini naona imeshindikana...labda ziwekwe nyingine maana unaweza sema sio viwango kumbe kamera imechukua vibaya.........ila uyo aliyenyoa kipara..!!? duh!!
Kuna vigezo vingi vinavyotumika kumchagua mtu, uzuri na mvuto huwa vinachangia tu. After all Mzuri kwako mara nyingi anakuwa si mzuri kwa mwingine. Hata hivyo tunawapongeza maana hatukutegemea kumpata mtu kutoka kanda ya ziwa.Jamani pamoja na Nasreem kushinda taji tukubali kuna wazuri waliomzidi sana. kwa mtazamo wangu hii ndio list yangu by Outlook 1. Rona Swai 2.Tusikile Mwaki 3. Pendo 4. Nasreem 5.Flora 6. Florence 7.Lilian 8. Miriam 9. Nadya 10 Devota 11 Slyvia. Wasiokuwa na Mvuto sana Angela annet Elizabeth Johari tadya Doris Cessilia. waliosalia wapo wapo tu.
Nimefurahi kuwa top mshindi na yule wa tatu wametoka katika list yangu. Yule mshindi wa pili pia alikuwa karibu sana na macho yangu kwenye list ingawa sikumpa nafasi kubwa sana nikilinganisha na wale niliokuwa nimewatanaguliza. Hali ndivyo ilivyo, macho yangu huona kwa kutumia ultra violet light, hivyo naweza kutofautiana na wengi.
Kilichonisikitasha kwa sasa ni taarifa nilizosoma baadaye kutoka vyanzo mbali mbali kuhusu tabia za huyu Miss Tanzania wetu wa mwaka huu. Sina uhakika na taarifa hizo lakini kama taarifa hizo ni za kweli, basi zinanifanya nifikirie mara kumi umuhimu wa kuendela na mashinado ya namna hii bila kuwa na standard thabiti. Najua kuwa washindi wa mashindanio haya huwa wanapata exposure ya kimataifa ambayo pia huwawezeasha kupata mikataba ya kimataifa na hivyo kujiendeleza kiuchumi wao binafsi na familia zao na taifa zima kwa jumla. Jambo linalotia wasiwasi ni kuwa washindi wa mashindano haya wanagubikwa na rekodi mbaya (kulingana na taarifa za pembeni kama ni za kweli) wanaweza kuweka mfano mbaya kwa watoto wa kike wanaotafuta namna ya kukwamuka na ufukara wakizania kuwa njia moja ya mafaninkio ni kuendeleza tabia mbaya za namna hiyo.
Kuna vigezo vingi vinavyotumika kumchagua mtu, uzuri na mvuto huwa vinachangia tu. After all Mzuri kwako mara nyingi anakuwa si mzuri kwa mwingine. Hata hivyo tunawapongeza maana hatukutegemea kumpata mtu kutoka kanda ya ziwa.
Jamani,
Vipi mnamuonaje huyu? ataleta taji kweli au itakua ni kama kawaida tu kwa Tanzania kila inaposhiriki kwenye mashindano ya kimataifa (Mpira, miss world, Olympics etc) kushiriki na kushindwa?
je mvuto ni kipaji? kwa kiingereza kipaji tunachozungumzia hapa kinaitwaje?