Miss Tanzania 2014 live Star TV

oluku

JF-Expert Member
Joined
Mar 27, 2013
Posts
350
Reaction score
71
Jamani wadau wapenda ulimbwende kazi kwenu ndo muda wenyewe. Star tv wanaonyesha moja kwa moja mashindano haya.
=================================


kwenye ukumbi wa Mlimani City,jijini Dar es Salaam.Sitti Mtemvu alianza kwa kunyakua Redds Miss Chang'ombe na baadaye Redds Miss Temeke Hatimae Miss Tanzania. Sitti ni binti wa Mbunge wa Temeke, Mhe. Abbas Mtemvu.






 
Nipo kwenye tv hapa naangalia live,tuungane hadi mwisho
 
Hakuma kulala....ila aliemfanyia make swauda mh....sijui kam bandika tu au...hajapendeza kabisa kw upande wng
 
Hakuma kulala....ila aliemfanyia make swauda mh....sijui kam bandika tu au...hajapendeza kabisa kw upande wng

Acha papara kuandika, tulia uandike vizuri bila makosa na kuharibu maana ya unachoandika

Hakuma!!!!
 
Lundenga aachie ngazi sasa,looh???
 
Hakuma kulala....ila aliemfanyia make swauda mh....sijui kam bandika tu au...hajapendeza kabisa kw upande wng

Huyo dada hajawahi kupendeza cjui tatizo huwa ni nini...ila nampenda tu tabia yake hana makuu kabisa maskini dada wa watu..
 
Preta acha basi kwa muda hiyo BBA njoo huku tuwatch miss bongo. Heaven on Earth. atoto mje bana

Nasikia kuzimia........nipo nimekwama kwenye foleni kutokea hapa Mianzini na naelekea Kimandolu........na sioni dalili ya kuwahi.......
Huu mji wanatakiwa waweke TV za barabarani ili matukio kama haya yasitupite 😒😒😞
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…