Jamani wadau wapenda ulimbwende kazi kwenu ndo muda wenyewe. Star tv wanaonyesha moja kwa moja mashindano haya.
=================================
kwenye ukumbi wa Mlimani City,jijini Dar es Salaam.Sitti Mtemvu alianza kwa kunyakua Redds Miss Chang'ombe na baadaye Redds Miss Temeke Hatimae Miss Tanzania. Sitti ni binti wa Mbunge wa Temeke, Mhe. Abbas Mtemvu.

Kati ya washiriki 30 wa Redds Miss Tanzania..Sitty Mtemvu ndiye aliyenyakuwa taji hilo akitokea wilaya ya Temeke.
Ushindi huo unampatia zawadi ya sh 18 Milioni.
Wakiwa Jukwaani wakati wa shindano hilo la Redds Miss Tanzania 2014 hakuna hata mshiriki mmoja kati ya watano waliofanikiwa kuingia kwenye tano bora aliyejibu swali kwa lugha ya Kiswahili..wote walitumia lugha ya Kingereza na mshiriki mmoja kutumia lugha mbili ya Kingereza na Kifaransa
Wanaharakati mbalimbali nchin wanafanya juhudi za kukuza na kueneza lugha ya Kiswahili ndani na nje ya bara la Afrika cha ajabu sisi wenyewe Watz tumekuwa tukikionea aibu Kiswahili kukizunguza ktk majukwaa mbalimbali kama Miss Tz.
My take.
Jamani Tanganyika tuikatae,hata Kiswahili pia tukikatae?