Miss Tanzania 2014 live Star TV

Mshindi wa hili taji atakuwa Nasreen Abdull
 
Jamani hao wawili wa mwisho wabayaaaaaaa
 
Sitaki kuamini wa karatu hayupo top five
Sob sob
 
Acheni ujinga nyie majaji, uyo demu wa shinyanga na karatu wanastahili kuwa top 5 mnaweka wapumbavu ndo mana mnachesha kila siku naisi mnapangaga wakumpa
 
Hhheeeeeeee Marry kapigwa chini jamanii pia alifaa awepo top five looo,ila tusingepumuaaa aisee
 
me nasubir segment ya Q&A .....nione wanavyombwela..
 
Acheni ujinga nyie majaji, uyo demu wa shinyanga na karatu wanastahili kuwa top 5 mnaweka wapumbavu ndo mana mnachesha kila siku naisi mnapangaga wakumpa

Yaani nimekasirika sana,sijui nikalale....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…