Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wameanza kuchambuliwa hao wanaopita mbele duuu mmmmhhhhh
Wimbo wa Basi nenda una ka dr 50 unaimbwa, DJ inamana hana audio nyingine.
Hutu Siti Mtemvu mbona kama mtu mzima sana?
Ha ha ha uwiii kama ya uluguru au upareni halafu anduje hatar
Yaan hapa mshindi washampanga kabisaaa aiseeee
Mshindi wa hili taji atakuwa Nasreen Abdull
we ni namba ngapi vile...
Anamaanisha wale waliotemwa waende...Wimbo wa Basi nenda una ka dr 50 unaimbwa, DJ inamana hana audio nyingine.
Tena Usangi.
Acheni ujinga nyie majaji, uyo demu wa shinyanga na karatu wanastahili kuwa top 5 mnaweka wapumbavu ndo mana mnachesha kila siku naisi mnapangaga wakumpa