Huyo Joketi anasimama upande ili tuone ---- ama!!
Angalia picha hapo kwenye tv
Mshiriki wa kwanza anajibu vzuri kajitahidi kiasi chake ila kaenda out of point mahali
Ana mingapo 28 nini kajidogolisha hatari huyu
Yani leo angekuwepo mpoki hawa Mamiss sijui
Bora angetumia lugha ya taifa anajichanganya sana
Bora angetumia lugha ya taifa anajichanganya sana
hahaba waaandaaji wangejuta
Bora angetumia lugha ya taifa anajichanganya sana
Lugha ngeni za nini kwenye mziki wa nyumbani??? Wakati miss tz inapeta zaidi uswahilini??