Miss Tanzania 2014 live Star TV

Huyu sijui muzungu anaongea englis muzurii
 
Kukariri ni janga la taifa na ndio maana wanakimbia kuulizwa & kujibu kwa kiswahili
 
Lugha ngeni za nini kwenye mziki wa nyumbani??? Wakati miss tz inapeta zaidi uswahilini??

mkuu upo na wewe? nategemea kuyaona hayo maswali hapa..
vipi majibu yao.
mabinti wakibongo now days wako butu kweli kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…