Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yes.na ndio maana kaweza wengine walikua wanazunguka wee eg.wa 2.Kajibu kifupi nae huyo wa kwanzaa
Huko world atakaeangalia atajua tu...
Huyu sijui muzungu anaongea englis muzurii
at least wa mwisho kiinglish kimenyooka
mmmmh..........
huyu wa mwisho kujibu kajitahidi aiseee
Lugha ngeni za nini kwenye mziki wa nyumbani??? Wakati miss tz inapeta zaidi uswahilini??
Kweli nmeamini startv bure kabisa...
Eti hadi camera inadisplay {bettry near end} kwenye srceen...
Kwi kwiii
Huyo wa mwisho kujibu una namba yake??