Miss Tanzania 2014 live Star TV

Watu tabasamu zimeanza kuisha aisee
Mmmmmhhhhhh siti kashinda
 
Wakuu hivi game ya taifa stars na benini wametoka ngapi ngapi.?alafu mwenye matokeo ya liverpool na qpr tafadhari niko mgodini uku sina mawasiliano mazuri..aksanten kwa utangulizi.

yaani makusudikally kabisaa umeamua kutuchanganyia madesa hivi hivi
 
Duh kapewa mtoto wa abbas mtemvu
 
Dah kwahyo kifaransa ndo kimemfanya mshindi mashindano haya bwana bora lakini hongera zake
 
Hahahaha as I told u, kama sio Mtemvu atakuwa Muhindi nothing new
 
miss tz 2014 ???????Haaaa jiwe walilolikataa waashi.....
 
Naandamana sikubali , mtu kavunja masharti kaambiwa Kingereza au Kiswahili kajibu na Kifaransa ! Abeg kesho naandamana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…