Da Pretty
JF-Expert Member
- Dec 9, 2010
- 3,059
- 1,152
Prashant yupo KisutuHapa chachaaaaaaaa yaan ludenga ndio anatangaza tena mshindi alikua ni jaji tenaa khaaa au ninii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Prashant yupo KisutuHapa chachaaaaaaaa yaan ludenga ndio anatangaza tena mshindi alikua ni jaji tenaa khaaa au ninii
Hapa chachaaaaaaaa yaan ludenga ndio anatangaza tena mshindi alikua ni jaji tenaa khaaa au ninii
bora katimuliwa maana hata maadili ya afya hana ka ndo hvyo
Nasreen abdul kaitwa sijui ni wa tatu
Wakuu hivi game ya taifa stars na benini wametoka ngapi ngapi.?alafu mwenye matokeo ya liverpool na qpr tafadhari niko mgodini uku sina mawasiliano mazuri..aksanten kwa utangulizi.
We dare to talk openly,..... Sema bana
Nikipigwa ban nitatumia account yako kuingia humu?
yaani makusudikally kabisaa umeamua kutuchanganyia madesa hivi hivi
Watu tabasamu zimeanza kuisha aisee