Miss Tanzania 2014 live Star TV


Huu Ulimbukeni wa Kukinyanyapaa Kiswahili na kuona anayezungumza Kingereza ni Msomi sijui utakwisha lini? Warembo wengi hapa Tz ni malimbukeni sana wao huoni ni Ufahari kuzungumza Kingereza au kuchanganya Lugha ( kiswanglish ) kwa staili hii Kiswahili hakitakaa kiendelee hasa ukizingatia Kuwa Vijana, masela nao wanakobomoa kwa kuanzisha Viswahili vya ajabu ajabu, huku na wabunge nao wakichangia kukitokomeza kwani baadhi Yao ni mabingwa wa kuchanganya Lugha.
 
Haya mashindano mshindi huwa wamempanga miss world watakua wana sindikiza wwengine
 
Hii ndo bongo..matarajio huenda kinyume kabisa.,huyu miss atakua ame meet vigezo vya kisiasa hahaa duh!
 
kalienda OP af kameshinda!!!..Ila mbna kanene sasa!!..mamikono ka fat joe!...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…