Miss Tanzania 2014 live Star TV

Miss Tanzania 2014 live Star TV

all in al
this year mashindano si mazuri jamani
anko hashimu peke yako huwezi au sijui muda umefika wape wenzio vijiti
yaani kwa kweli hovyo hovyo tu nimeona umuhimu wa prashant patel leo
nA star tv mmeboa mbaya leo
yaani leo mmekera kwa kweli rangi bovuuu
hilo tatizo mnalo star tv
u hav to change please
goodnight
 
true...siti mtemvu wamembeba tu...haya mashindano hayana mvuto tena wanayachakachua sana

Sura nzito kajibu out of question kwahyo kifaransa ndo kime mpa ushindi wenye vigezo wote wameachwa miss Tanzania nowdays haina mvuto kila mwaka inazidi kupoteza mvuto kubebana kila mahali Ludenga aachie na wengine walete mabadiliko mapya
 
Kati ya washiriki 30 wa Redds Miss Tanzania..Sitty Mtemvu ndiye aliyenyakuwa taji hilo akitokea wilaya ya Temeke.

Ushindi huo unampatia zawadi ya sh 18 Milioni.

Wakiwa Jukwaani wakati wa shindano hilo la Redds Miss Tanzania 2014 hakuna hata mshiriki mmoja kati ya watano waliofanikiwa kuingia kwenye tano bora aliyejibu swali kwa lugha ya Kiswahili..wote walitumia lugha ya Kingereza na mshiriki mmoja kutumia lugha mbili ya Kingereza na Kifaransa

Wanaharakati mbalimbali nchin wanafanya juhudi za kukuza na kueneza lugha ya Kiswahili ndani na nje ya bara la Afrika cha ajabu sisi wenyewe Watz tumekuwa tukikionea aibu Kiswahili kukizunguza ktk majukwaa mbalimbali kama Miss Tz.

My take.

Jamani Tanganyika tuikatae,hata Kiswahili pia tukikatae?
 
haa hivi unamfahamu kiwatengu ama unamsikia.....ubodigadi wake n wa kutiliwa mashaka.

mashaka ya nini tena, demba mimi kuwa na wewe hapa usiku huu ni nafasi yakipekee sana
 
Sura nzito kajibu out of question kwahyo kifaransa ndo kime mpa ushindi wenye vigezo wote wameachwa miss Tanzania nowdays haina mvuto kila mwaka inazidi kupoteza mvuto kubebana kila mahali Ludenga aachie na wengine walete mabadiliko mapya

Akienda miss world hata top 50 hayumo
 
Lundenga hana udhamini wa kutosha jamani anadaiwa sana patel aliweka zuio la kufanyika kwa kudaiwa 20mils so inawezekana walikaa mezani kusuluhisha uenda makubaliano ni kulipa deni soon baada ya kufanyika so ili akidi itimie inawezekana kachukua fungu kutoka kwa mtemvu ili akisemwa semwa sana baba yake wanamuongezea kiki.
 
Back
Top Bottom